Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

Ndiyo maana wengine tushasema kwamba hayupo.

"Argumentum ad ignorantium". Yaani hapa mzee unashuka hadhi vibaya sana, shule yote chini! Afadhali hata ya layman ambaye hakugusa hata chaki kabisa!
 
Nyani Gauni;
Matatizo ya kutumia lugha za watu pasipo kuwa umeenda shule ndiyo hayo, matokeo yake unajichora na kujidhalilisha kwenye forum ya dunia nzima.

Chukua darasa kidogo hapa la form one, umoja na uwingi wa Kiingereza.

Umoja: He speaks Sukuma
Uwingi:
They speak Sukuma.

Umoja: A volume of a book speaks a lot about Nyani Gauni
Uwingi: Volumes of books speak a lot abot Nyani Gauni

Moreover, I mean't a single volume of books and not volumes of books, doesn't matter whether it exists or not, the issue of its existence or non existence is immaterial here, what matters only is the language, understand student?

Note: Ukiona mtu anapenda sana kujinyanyua nyanyua mwenyewe, ujue aidha shule ni mgogoro au yuko "screw loosed" somewhere kwenye kichwa chake! KALAGABAHO!

Sikiliza wewe bwana mdogo, hapo ulichemka. "Speak volumes" ni idiom. Najua huwezi kukubali kuwa ulichemka lakini ukweli ndiyo huo.

speak volumes : to provide a lot of information about something : to show something very clearly
▪ The company's decision to ignore the problem speaks volumes [=says a lot] about its lack of leadership. M-W

speak volumes (about/for something/somebody)
to tell you a lot about something/somebody, without the need for words
His achievement speaks volumes for his determination.
What you wear speaks volumes about you. Oxford

Halafu hata Kiswahili hujui. "Aidha" maana yake ni 'vilevile', 'pia','isitoshe', au 'kadhalika'. Kwenye Kiswahili ukitaka kusema 'either....or' unasema 'ama....au' na siyo 'aidha....au'.

Take that, sucker!!
 
Usiwe unahamasika kama kuleta ugomvi kwenye argument, just be polite and argue, kijana wangu mdogo sana wewe. Sema sina mda wa kushinda janii forums kuandf=ika andika kama wewe. Kama unabisha ni pm nikupe nambayangu ya simu halafu tukutane siku moja tuje tumenyane ana kwa ana si kwa maandishi na ushabiki wa watu wengine ambao hata wanachoongea hawakijui kama akina Nyani Gauni

Wewe kweli ni fisi. Umeshaona dalili ya wewe kushindwa hoja hapa hadharani ndiyo maana unakimbilia kuutoa mjadala hapa na kuupeleka kwingine.
 
Ila nadhani una akili nyingi, huwa unatafuta kitu data fulani hapa kijanja. Kwa level ya ufahamu wako ninavyoiona, lazima utakuwa unaigiza,..., kama sivyo, tarajia mambo makubwa sana kutokea katika maisha yako siku moja!

What the hell...? Are you a soothsayer?
 
hahahaha, kwa hiyo yakitokea tukusifu kwa kutabiri
na yaspotokea tukusifu vile vile kwa kutuhepusha?
Watu wengine wanajua kujitafutia umaarufu kweli!
 
Ice in both north and south poles is melting in alarming speed.
Water level is increasing, in some areas ocean will be able to flood land up to 40 miles from the sea.
A little bit wind might bring a lot of flood disaster around the sea shores and flat lands near the ocean.
But I dont know when this will happen.
 
Mafuriko yatokee ndio tuamini, au yasitokee pia tuamini kwamba kuna watu wameliombea taifa,
 
Hamna mungu wala shetani.

Kama idara ya hali ya hewa inaona mvua zinakuja na kukuarifu, na wewe unakaa mabondeni bado, wewe ndiye shetani wako mwenyewe.

Ukiheshimu mazingira na kuhama utakuwa mungu wako mwenyewe.

Kwingine kote tnasingizia tu kwa kukosa kujua.

Mkuu ina maana wewe huamini kama kuna mungu na shetani?
 
hahahahahahahah naogopa lakini mimecheka sana

naogopa kwasababu tabgu asubuhi nasoma mambo ya sayari ya nibiru itakayoigonga dunia eti
asiluimia 90 ya viumbe vitaangamia loh
ngoja nikauze shamba nile pesa zangu mapeeema
Inawezekana Mungu amesikia kilio chetu. Angemuangamiza kwanza baba riz ningekuwa na amani ya moyoni...
 
Kwa nini wewe hujasema na yeye?

Unajuaje kama sijasema naye? Usi assume tu.

Kwa nini yeye awe na obligation ya kusema na wewe tu na si wewe kusema naye?

Nani kakwambia sijasema naye? Unaonekana ku assume sana bila ya investigation.

Unafuga ndevu zinakuwa ndefu hadi karibia magotini halafu unapita mitaani unatangaza kuwa vinyozi hawapo kwa sababu kama wangekuwepo ndevu zako zisingerefuka hadi magotini?

Halafu unaiendeleza assumption kwa analogy, unazidi kuji expose ulivyo presumptive.

Unataka kinyozi akufuate chumbani kwako aje akunyoe? Kwa nini usiende saloon kama unataka kunyoa hizo ndevu zako? Kaa nazo hadi zitarefuka ziwe zinakatika zenyewe lakini kamwe kinyozi hatakufuata nyumbani kwako.

Unapitiliza kabisa kwenye any reasonable conduct, hujajibiwa swali ushajijibu mwenyewe na kuendeleza theories na extrapolations. No wonder unaamini vitu visivyoaminika.

Ila nadhani una akili nyingi,

Akili nyingi ndo ikoje?

huwa unatafuta kitu data fulani hapa

Ninachotafuta hapa ni uthibitisho kwamba mungu yupo. Kitu ambacho si wewe wala mtu mwingine yeyote hapa JF ameweza kunipa.


Pole.

Kwa level ya ufahamu wako ninavyoiona, lazima utakuwa unaigiza,..., kama sivyo, tarajia mambo makubwa sana kutokea katika maisha yako siku moja!

Hakuna asiyeigiza dunia hii. Nitajie mmoja asiyeigiza.

Unacheza wewe.
 
"Argumentum ad ignorantium". Yaani hapa mzee unashuka hadhi vibaya sana, shule yote chini! Afadhali hata ya layman ambaye hakugusa hata chaki kabisa!

Huyu hapa scientific process hata redioni hajaisikia.

Bila shaka anafikiri "Burden of proof" ni dawa fulani ya kuua mende, version nyingine ya "Dudu Proof".
 
Huyu hapa scientific process hata redioni hajaisikia.

Bila shaka anafikiri "Burden of proof" ni dawa fulani ya kuua mende, version nyingine ya "Dudu Proof".

Details huna, una sentensi tu zimejaa kichwani. Wewe tangu lini mtu akang'ang'aniza tools za sayansi zitumike ku-test vitu kwenye spritual world! Ni kama mtu analazimisha umwonyeshe umbile la upendo lilivyo, baada ya kuwa umemwonyesha ng'ombe. Kuanzia leo wewe nimekupa hilo jina la Kalabaho!
 
Huyu hapa scientific process hata redioni hajaisikia.

Bila shaka anafikiri "Burden of proof" ni dawa fulani ya kuua mende, version nyingine ya "Dudu Proof".

Details huna, una sentensi tu zimejaa kichwani. Wewe tangu lini mtu akang'ang'aniza tools za sayansi zitumike ku-test vitu kwenye spritual world! Ni kama mtu analazimisha umwonyeshe umbile la upendo lilivyo, baada ya kuwa umemwonyesha ng'ombe. Kuanzia leo wewe nimekupa hilo jina la Kalagabaho!
 
Details huna, una sentensi tu zimejaa kichwani. Wewe tangu lini mtu akang'ang'aniza tools za sayansi zitumike ku-test vitu kwenye spritual world! Ni kama mtu analazimisha umwonyeshe umbile la upendo lilivyo, baada ya kuwa umemwonyesha ng'ombe. Kuanzia leo wewe nimekupa hilo jina la Kalabaho!

Kalabaho ndo nini?

Jifunze spelling.

Nimesema hujanionyesha uthibitisho kwamba mungu yupo. Umekubali kwamba huwezi kunionyesha uthibitisho.

Kimsingi una make case yangu kwamba mungu hawezi kuthibitishika. Ni mapokeo na hekaya tu.

Asante.
 
Kazi?

Kazi ndiyo kitu gani?

Unajuaje kama mie si mtoto wa kabaila a.k.a "Trust Fund Baby" nakula interest ya investments tu.

Wewe kwa sababu kila mtu unayemfahamu katika dunia yako ni lazima awe anafanya kazi usifikiri kila mtu anahitaji kufanya kazi.

Once again, too many assumptions.

Basi nakimbia, una arguments sana, au anasemaje? Sayansi unaijua? Niliuliza swali, (enquiry mind)
 
Sipingi alichosema Elisha Ray lakini nataka kumwambia kwamba huu siyo wakati wa kukariri kwamba Object fulani ni kitu fulani katika ndoto au vision. Nyoka siyo wakati wote ni shetani hivyo siyo vyema kuweka katika ufahamu wako kwamba ukiona Nyoka basi ujue ni shetani bali ni vizuri kuomba Roho wa Mungu akufunulie ili ujue kwa hakika mawazo ya Mungu kuhusu jambo hilo alilosema nawe.

Utumishi wa mazoea na kukariri zama zake zimepitwa na wakati ni vizuri kutomzoea Mungu wala kukariri.
 
Basi nakimbia, una arguments sana, au anasemaje? Sayansi unaijua? Niliuliza swali, (enquiry mind)

Mi sijibu wanaokimbia. We siye uliyesema nimekukimbia hapa?

Anayesema anaijua sayansi haijui. Wacha mapepe.

Wewe hata quote yako mwenyewe inakusuta.

"Believe those seeking the truth, doubt those who find it"; Andre Gide"
 
Mi sijibu wanaokimbia. We siye uliyesema nimekukimbia hapa?

Anayesema anaijua sayansi haijui. Wacha mapepe.

Wewe hata quote yako mwenyewe inakusuta.

"Believe those seeking the truth, doubt those who find it"; Andre Gide"

Nilikuwa nakudanganya, na ulivyo mwepesi wa kukariri joja ukakubali, hapana bado nipo mzee wangu, isipokuwa nilitaka nipumzike kidogo kusikia *****! Tatizo umekariri sayansi wakati siyo mwanasayansi, you think everything's verification is subject to emperical objective evidence, simply sayansi inasema hivyo,..., a grave mistake.

Kwa mfano, sauti yako unayotumia kuongea kila siku ulishawahi kuiona kwa kutumia your natural eyes? Kwa nini hujawahi kusema kwamba haipo? Au kwa nini maneno unayotamka huwa huyaoni ila huwa unayasikia tu hadi imebidi watu watumie utaalamu wa maandishi kuhifadhi maneno? Wewe unataka kila kitu kiwe tested na scientific instrument? How do you test things in a spritual world kwa kutumia scientific instrumenst? Before discovery ya sophisticated instruments ambazo zinaweza kumpima mtu na ku-confirm kama yuko usingizini na/au anaota (wewe unajua kabisa kwamba huwa unalala na unaota) ungeweza ku-argue kwamba watu huwa hawawi usingizini au hawaoti kwa sababu, by then hapakuwa na scientific instuments za kutest hiyo? Naona wewe hujasoma sayansi na wala huielewi unachemka chemka tu, tafuta mda nikupe tution at a very advanced level. Unatumia ujanja ujanja tu wa kukusanya habari kutoka kwenye vijarida na mitandao, na kukariri kichwani ili uje uvitumie katika kubishana na siyo kutoa hoja. You think huo ndiyo usomi. TAFUTA MUDA NIKUPE LECTURES NZURI SANA ZA SAYANSI, HASA PHYSICS, AT A VERY ADVANCED LEVEL. KALAGABAHO!
 
Back
Top Bottom