bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Kwamujibu wa tahalifaPia hatukuondoka na magari ya jeshi bali mabasi ya kukodi
Kwamujibu wa tahalifaPia hatukuondoka na magari ya jeshi bali mabasi ya kukodi
Ha ha samahan dawili .Ke na si me
Mabishano ya nini wamerudishwa awakurudishwa? Mimi najua awajarudishwa nina uakikaPia hatukuondoka na magari ya jeshi bali mabasi ya kukodi
Ha ha taarifa iyo si sahihi.gari la jeshi lilikuepo kene msafari likiwa limembeba mkuu wa msafara.landlova defenda 110 gari linalotumiwaga na mshauri wa mgambo wa mara.ila wazalendo wote kene magar ya kukodiKwamujibu wa tahalifa
Hatubishan tunaeleweshana afande,kuna walorudishwa na ambao hawakurudishwa ,waziMabishano ya nini wamerudishwa awakurudishwa? Mimi najua awajarudishwa nina uakika
Nahisi mnashindwa elewana padogo sana, issue ni kwamba Wazalendo waliopangiwa 822kj toka kanda ya Ziwa tayari walikuwa wamekwisha pokelewa na kukamilisha taratibu zote za kuingia kikosini kabla ya kupokea maelekezo toka makao makuu, ambayo kwa namna moja au nyingine yaliwaathiri vijana waliokuwa njiani kuelekea Vikosi vya 823,24 na 25 kama alivyosema Mkuu hapo juu.......Mabishano ya nini wamerudishwa awakurudishwa? Mimi najua awajarudishwa nina uakika
mkuu nazani bado mambo ya bajeti jeshi halina siasa bcz hata waliofanya usaili jwtz bado awajaondoka vuta subira...waziiiiiiiiiii.....Jmn nackia kua hatuendi kabisaaa ,,,,, WAZI!!!!!
Ndo namaanisha ivo na ndo ilivo .waziNahisi mnashindwa elewana padogo sana, issue ni kwamba Wazalendo waliopangiwa 822kj toka kanda ya Ziwa tayari walikuwa wamekwisha pokelewa na kukamilisha taratibu zote za kuingia kikosini kabla ya kupokea maelekezo toka makao makuu, ambayo kwa namna moja au nyingine yaliwaathiri vijana waliokuwa njiani kuelekea Vikosi vya 823,24 na 25 kama alivyosema Mkuu hapo juu.......
Bado tunapima afya,kesho tunamaliza mchakatoJkt ya mwaka huu naona inakua na misukosuko kibao ,,, wale wa dar tupeni mrejesho
Bado tunapima afya,kesho tunamaliza mchakato wa vipimoo
Hali ipo fresh kabisa tunasubili majibu ya vipimooMkuu Hali ikoje dar kwa ujumla..
Mmepima leo mana kuna kamanda kaniambia leo ni veti tuHali ipo fresh kabisa tunasubili majibu ya vipimoo
Kaka c tunashukuru uncle magu mana mwaka huu kidooogo haki ipoHii kitu sito sahau 2008 usahili wa wilayani nimepita fresh, tukafika mkoani hadi usahili unaisha jina halipo, na ambao hawakuitwa wilayani mkoani wakawa wapo. Nilitoka hapo sina hamu.
Kweli,lakin watu ambao hawajapima ni six,diploma na degree!! 4 na std 7 tayar wamepimaMmepima leo mana kuna kamanda kaniambia leo ni veti tu