Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Wazalendo kuweni na subra.tuwasubir makamanda ambao hawajamaliza masailiano
 
Wazalendo walipangiwa 822 kutkaa kanda ya ziwa walfanikiwa kuingia kambini kwao rwamkoma bila wasi kwa sababu waliwahi kuondoka (kabla ya oda ya aziwea kutoka mmjkt) ila wazalendo wa 823 824 na 825 wakiwa wamekusanywa mwanza transit camp kutoka mikoa yao(mwanza geita mara na kagera) wakijiandaa kupanda mabasi kuelekea vkosin gafla ikaja oda kutoka makao makuu vjna wote waliopo pale warudishwe mikoani kwao wasubiri maelekezo mengine. Ikumbukwe oda haikuafekt 822 kwa kua walikua washapokelewa kikosin kwao na wako kikosin mpka sasa
 
Shukrani kaka kwa maelezo ya kina, swali la msingi labda kwa mtazamo wako wa harakaharaka ni nini kinaweza kuwa kimesababisha usitishwaji wa huo mchakato wa makamanda kuingia Ngomeni???
 
Mkuu nimeulizia sasa usibishe wapo kambini sasa wanaoga tope huko hizi ndio habari kamili wadau ulizeni chanzo changu cha habari ni huakika .
Kaka kambi gani iyo wanayooga tope kaka? . Zingatia kutofautisha mujibu na wa kujitolea unaweza kukomfyuzi pia ,mi nakueleza maana nlikuepo kene tukio ,822 pekee ndo wapo kikosin kutoka kanda ya ziwa
 
Shukrani kaka kwa maelezo ya kina, swali la msingi labda kwa mtazamo wako wa harakaharaka ni nini kinaweza kuwa kimesababisha usitishwaji wa huo mchakato wa makamanda kuingia Ngomeni???
Kuna lonja nyingi tu mkuu .ila mi naona kua kuna baadhi ya mikoa (kigoma na dsm nk)hawajamaliza mchakato so ili kupunguza matumiz ya vjana makambini kukaa bila sababu tukisubir watimie ni bora wasitishe mpka wote wakiwa tayari.zingatia kua hayo ni maoni yangu binafsi
 
Bila shaka kaka, inshaalah Mwenyezi atawajaalia wepesi mchakato ukamilike mapema iwezekanavyo
 
Waliondoka j3 na magari ya jeshi walifikahuko walikabidhi cm na kila kitu walichonacho na cm mpaka sasa zimezimwa.wanakula wima huko bila kukaa
Nlikwambia waliofanikiwa kuingia makambin ni vjana waliopangiwa 822kj rwamkoma.soma maelezo yangu kwa kina .ila wengine 823 824 na 825 wamerudishwa home.wazi!
 
Back
Top Bottom