unauhakika?Baada ya miez 3 ndo tutaenda mpk mujibu wa sheria warud
Safi sanaTayari kigoma tumemaliza jana nasi tunasubiri kuitwa
Skua na iyo akili mkuuKwann hukutumia cha Six mkuu
Safi sana kaka naona tulikua pamoja pale mtc tukala na yale mamikate yanatia morali sanaSafi sanaaa ...wala hujakosea Mimi nilikua 823KJ na nilikua pale Mwanza ...washkaji wangu wengi waliopelekwa 824 na 825 walipokelewa na mpaka sasa hawajakabidhi hata sim so tunawasiliana... Wameambiwa watakua wanafanya Kazi ndogondogo huku wanawasubili wenzao tarehe 1/7/2016
Kaka nlirekebisha kauli,nlikua namanisha kigoma.waziKagera tulimaliza kitambo sanaaaa na waliopangiwa 824 na 825 wapo kambini toka j4
Mkuu mbona hatare saanaBaada ya miez 3 ndo tutaenda mpk mujibu wa sheria warud
Hii taarifa iko sahihi au ni propagandaMkuu mbona hatare saana
Sizan kama ni kweli .haiwezekan watu wakae huko miez mitatu bila isue (walopokelewa vkosin) .anyway tusubiri maelekezo jeshi ni maelekezo na kufuata maelekezoSidhani kama taarifa hiz ni sahihi, manaake itakuwaje kwa makamanda ambao washapokelewa Vikosini
Mkuu hujapata bahati ya kuwasiliana na Makamanda waliofanikiwa kureport vikosini, wakupe mrejesho wa nn kinaendelea hukoSizan kama ni kweli .haiwezekan watu wakae huko miez mitatu bila isue (walopokelewa vkosin) .anyway tusubiri maelekezo jeshi ni maelekezo na kufuata maelekezo
Makamanda wangu walinyanganywa simu hawapatkani mkuu.kuna mdau mmoja hapa aliandika kua anawasiliana na wazalendo walioingia kigoma tumuombe atupe mrejeshoMkuu hujapata bahati ya kuwasiliana na Makamanda waliofanikiwa kureport vikosini, wakupe mrejesho wa nn kinaendelea huko
Kweli asee manaake kunabwana mdogo wangu hapa aliacha kazi kwa Mapenzi ya jeshi, hii Taarifa ya Kukaa mtaani miezi mitatu imemnyong'onyesha kinoma hadi amejuta kuacha kazi [emoji23] [emoji23]Makamanda wangu walinyanganywa simu hawapatkani mkuu.kuna mdau mmoja hapa aliandika kua anawasiliana na wazalendo walioingia kigoma tumuombe atupe mrejesho
Embu jaza jaza nyama kene point yako mkuu .Mzigo mwezi 8 officially zingine ni rumors tu
Umezipata wapi hizo official announcements mkuuMzigo mwezi 8 officially zingine ni rumors tu
Ha ha ha kama msela wangu pia kaacha kaazi basi amepanik hadi basi anajua ndo azwea mazimaKweli asee manaake kunabwana mdogo wangu hapa aliacha kazi kwa Mapenzi ya jeshi, hii Taarifa ya Kukaa mtaani miezi mitatu imemnyong'onyesha kinoma hadi amejuta kuacha kazi [emoji23] [emoji23]
Juzi Nilikuwa nasoma Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa , Fungu kwa ajili ya vijana wa Jkt wa kujitolea lipo so Makamanda msiwe na Shaka, Ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa sawaHa ha ha kama msela wangu pia kaacha kaazi basi amepanik hadi basi anajua ndo azwea mazima