Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Makanya Jr..nice to see u brah ! Vp mkuu mana ulipotea
Thanks kaka.
Sina simu kaka ilidondoka kwenye maji ile kuifungua Fundi akaaribu battery na dukani bei juu sana .
For this time I can't afford it.
 
Watu wanapotosha ukweli,itawezekana vp mkatabaa useme course itaanza tarehe 1 mwz wa 7,alafu wabadili mpaka mwez wa 8[emoji35] [emoji35]

Kule kuna kuongezwa muda kama mkitoboa mkataba, mnaweza kuongezewa adi miezi 6.

OP Muungano waliingia kikosini march 2014 ambapo mkataba umeisha na waliofanikiwa kumaliza mkataba wamerudi home May 2016 imagine
 
Ha ha daaah ni sheedah.. Yan ukiona tarehe 28 itapita Bila taarifa.. Anza kuomba kazi ya ma waziiiiii
 
Wazalendo walipangiwa 822 kutkaa kanda ya ziwa walfanikiwa kuingia kambini kwao rwamkoma bila wasi kwa sababu waliwahi kuondoka (kabla ya oda ya aziwea kutoka mmjkt) ila wazalendo wa 823 824 na 825 wakiwa wamekusanywa mwanza transit camp kutoka mikoa yao(mwanza geita mara na kagera) wakijiandaa kupanda mabasi kuelekea vkosin gafla ikaja oda kutoka makao makuu vjna wote waliopo pale warudishwe mikoani kwao wasubiri maelekezo mengine. Ikumbukwe oda haikuafekt 822 kwa kua walikua washapokelewa kikosin kwao na wako kikosin mpka sasa
825 kj mtabila [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji119]

Salutiiii makamanda miss u mtabila so much u made me to be a real fighter nothing to fear [emoji4]
 
Back
Top Bottom