Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hii ya kambi kuanza 1/7 ina ukweli fulani
Kinachoniumiza mm je tukimaliza depo ajira itakuwepo au ndio tunajirudia home?
 
Hii ya kambi kuanza 1/7 ina ukweli fulani
Kinachoniumiza mm je tukimaliza depo ajira itakuwepo au ndio tunajirudia home?
Ajira zitakuwepo kama hutazichagua wengi waliokosa ajira walikomaa na upande fulani cha muhimu wewe fanya usahili wowote utakaokuja mbele yako iwe police,magereza,uhamiaji,zimamoto,TANAPA,Jw etc
 
Naona kama vile azwea zimekuwa nyingi[emoji14] waziiiiii[emoji15] .

Wazalendoooooo!!,afandeeee!!

Kurutiiiiii afandeeee.

Mjifunze chenja makamanda.

Usipoweza chenja ukija huku tutakundisha jinsi ya kuangusha ndege.

Na kwenye kwata tutaanza na "funga fungua,funga fungua" mpaka mapaja yazoee[emoji3]

Waziiiiiiiii .....waziiii afandeeee
 
Hahhhhahahahh

Tatizo wanataka jwtz tu

Polisi wakija hawataki

Magereza hawataki

Wanyamapori hawataki

Wao wanataka "bakabaka" tu sasa miaka miwili inaisha wanarudishwa kwao hahahah
Kambi popote mi nataka mshahara majeshi ya skuiz pesa hazipishan zaid ya laki.ila watu wanaskilizaga proganda wanaza bakabaka kuna pesa za baresa
 
Back
Top Bottom