Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Yhaa ni kweli na kama serikali ingekuwa haijajipanga kwa hili zoezi la usaili wa vipimo kitaifa ungesitishwa mapemaaaaa isingeendlea na usaili wakati wanajua vijana hawaendi na kama wakiwaacha vijana mda mrefu mtaani itabidi waanze kuwapima upya afya zao ili wawaingize makambini " Akili za kuambiwa changanya na zako"
Kweli mkuu hata mm akili yangu inagonga tareehe moja wa saba baada ya hapo nazan tufikiri vngine.serikali si njinga kuwaisha wadzabe na wazanziba kambin miezi mitatu.lojik inagoma
 
Kweli mkuu hata mm akili yangu inagonga tareehe moja wa saba baada ya hapo nazan tufikiri vngine.serikali si njinga kuwaisha wadzabe na wazanziba kambin miezi mitatu.lojik inagoma
Yhaaaa subirii taarifa rasmi kutoka kwa mshauri wako wa mgambo na kama kuna lolote jeshi litatoa ufafanuzi habari n nyingi na kila mtu anaongea lake jeshi sio siasa
 
Ili uweze kuishi jkt na jwtz sifa kubwa ni uvumilivu wa hali ya juu,hakuna kubembelezana.Kazi ngumu,maneno magumu na ukiharibu unakula tilio la ziada.Kwa ronja iliyopo wale wa kujitolea wataripot makambini after 2mnth hii ni kutokana na hali ya kiuchumi.
Kama n hali ya kiuchumi mkuu sidhani kama haya mambo yote ya usaili yangeendlea yangesitishwa lakn usaili mikoani bado unaendlea kama kawa
 
Kama mpaka ni mwezi wa nane hamuoni mtaenda tofauti na mikataba mliyosaini kwenye fomu? narudia tena akili za kuambiwa changanya na zako

wakuu msiwe na presha tuliza mteru cubirini had tar moja lazma kieleweke kama n aziwea itapigwa hapo kwa nchi nzma so tuwe wavumilivu na tusiweke Maneno ya kuvunjana moyo wengine ndio tunategemea hapa yani ndio tumemaliza kabisa sasa Maneno ya kuvunjana moyo yanaweza kumtia MTU wazmu waziii
 
Makanya Jr. nadhani alishakatwa kibangala mapema maana alikua na spidi ya hatari naona siku hizi anakuja kwa machale kama kurutu mjongomeaji anavyosogea usawa wa kombania mida ya saa kasoro
Haaaa Haaa Mkuu bado nipo sana.
Tyr kila kitu kiko sawa interview zote na Vipimo fresh nshasain form ya kwanza jtatu Tunamalza na kupangiwa Vikosi .
Sina simu mkuu thus why I'm nowadays not seen.
 
Haaaa Haaa Mkuu bado nipo sana.
Tyr kila kitu kiko sawa interview zote na Vipimo fresh nshasain form ya kwanza jtatu Tunamalza na kupangiwa Vikosi .
Sina simu mkuu thus why I'm nowadays not seen.
Mkuu Makanya Jr kwa tetesi ulizozipata Makamanda wataingia lini Vikosini??
 
Haaaa Haaa Mkuu bado nipo sana.
Tyr kila kitu kiko sawa interview zote na Vipimo fresh nshasain form ya kwanza jtatu Tunamalza na kupangiwa Vikosi .
Sina simu mkuu thus why I'm nowadays not seen.
Makanya jr habari zako mkuu.mkataba unaaanza tarehe ngapi napenda kujua kama mmesain tarehe kama yetu,
 
Back
Top Bottom