Rojaa nimekusoma mkuu hope ulikua poa kamandaKweli,lakin watu ambao hawajapima ni six,diploma na degree!! 4 na std 7 tayar wamepima
Rojaa nimekusoma mkuu hope ulikua poa kamandaKweli,lakin watu ambao hawajapima ni six,diploma na degree!! 4 na std 7 tayar wamepima
Yaaani mambo hayaeleweki......Mbona n kama siasa sasaJkt ya mwaka huu naona inakua na misukosuko kibao ,,, wale wa dar tupeni mrejesho
Anamaanisha wale wa mjibu wa sheria(compulsory), yaani waliotoka mashule( form six). Bila shaka umenielewa mkuu.
Ha ha ha ndio ndio mkuu vjana molari ilishuka kiasi kwamba afande akisema wazi hakuna wa kujibu wote kimyaaaaaaaMoraliii kama kama tuwe wavumilivu mambo ya jeshi Yana change mida wowote... 832kj mkuu lj mwambar nimekufuma kaka.. Ke... Umelewa kamanda alikuwepo kenye msafara ikapigwa azwereee/ajwaaar
Pole sana mkuu wanguHii kitu sito sahau 2008 usahili wa wilayani nimepita fresh, tukafika mkoani hadi usahili unaisha jina halipo, na ambao hawakuitwa wilayani mkoani wakawa wapo. Nilitoka hapo sina hamu.
[emoji23] [emoji23] achaaaaHa ha ha ndio ndio mkuu vjana molari ilishuka kiasi kwamba afande akisema wazi hakuna wa kujibu wote kimyaaaaaaa
Mm ninakushauri bora uende na nguo ulizonazo mwilini na ndoo ya maji tuiv ni vitu gan vya muhimu vinavotakiwa mtu kwenda navyo anapoenda kambini
Vyeti ni mhm kuliko vyoteMm ninakushauri bora uende na nguo ulizonazo mwilini na ndoo ya maji tu
Wanakomalia mpaka leaving certificates???Vyeti ni mhm kuliko vyote
Yeah mkuu ukiwakuta wanaa .sie huku hawakujali sana japo wapo walionganganiwaWanakomalia mpaka leaving certificates???
Hahaaaa daaaah nawatamani sana Wazalendo sema nishaikatia tamaa,..... Naona wazee wa dsm ndo wanakamilisha kamilisha mchakato nadhani soon mtaingia NgomeniYeah mkuu ukiwakuta wanaa .sie huku hawakujali sana japo wapo walionganganiwa
Hao wa dsm na kagera ndo wanachelewesha mamboHahaaaa daaaah nawatamani sana Wazalendo sema nishaikatia tamaa,..... Naona wazee wa dsm ndo wanakamilisha kamilisha mchakato nadhani soon mtaingia Ngomeni
nafkir mpaka tarehe 1 mwez 7 watu watakua vikosiniHao wa dsm na kagera ndo wanachelewesha mambo
Yeaah sie hatuna wasi tunakula utawala tu wakimaliza mambo yao watatuitanafkir mpaka tarehe 1 mwez 7 watu watakua vikosini
Kagera wanamaliza ngoma liniHao wa dsm na kagera ndo wanachelewesha mambo
Skumaanisha kagera mkuu.nlimaanisha kigoma.kagera washamaliza na tuko nao ktk kusubiri.Kagera wanamaliza ngoma lini
Sjajua kigoma watamaliza lini ila ndo wako kene vpimoKagera wanamaliza ngoma lini
oooh Ila nadhani wapo kwenye hatua za Mwisho kabisaSkumaanisha kagera mkuu.nlimaanisha kigoma.kagera washamaliza na tuko nao ktk kusubiri.
Sawa mkuuUnampotosha mwenzio
Baba kantuma sio vijana wa mujibu wa sheria,hawa ni wa kujitolea wanaoenda bila usaili ule wa jumla,mara nyingi ni watoto au ndugu wa maafande.Hawa ni wale wa kupigiwa mapande