Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hii issue imekaaje mbna kama utata flani hiv.... Jana kuna wana walipost humu kuwa wako safarini wanaingia Ngome, what happened nasikia tena wamerudishwa kitaani...... Ufafanuzi tafadhali
Issue naona Ipo katika Logistical Challenge Huwezi Kuita watu wakati mkoa mingine bado so naona wanasubiri wenzao kambi ya JKT inajumuisha watu wa Mikoa yote kama siyo wa wilaya zote so naona wanasubiri wote wamalize! Usaili kwanza
 
Mkoa gani bado kwani, so far najua Dsm
 
Issue naona Ipo katika Logistical Challenge Huwezi Kuita watu wakati mkoa mingine bado so naona wanasubiri wenzao kambi ya JKT inajumuisha watu wa Mikoa yote kama siyo wa wilaya zote so naona wanasubiri wote wamalize! Usaili kwanza

ishu hii imeshakua ngumu hapo mambo ya magufuli yashaingia kati hapo sasa cubir tuone kitachojir ila hali in mbayaaa
 
Kuna sister nimekutana nae kwa basi niliscul nae kidato yeye anaform mkononi anasubiri safari ameniambia amepangiwa mafinga na safari mwezi wa 7 amepita mkoa wa pwani ...mliopangiwa mafinga wenzie eti mnaripoti lini jamani ..
 
Nawewe utaenda wapi na Formu yako wakati ulipigiwa simu hukupatikana kumbuka kulipoti siyo kama shule ya boarding unaenda peke yako! Unaenda na Gari ya jeshi ndo mnakabidhishwa hapo!
Kuripoti jkt kila mtu anaenda kivyake cha msingi uzingatie deadline tu(na ndio mana kwa mfano wanasemaga kuripoti ni kuanzia tarehe 01 mpaka 07).but kutoka jkt kwenda kozi za jwtz whatever ndo mnasafirishwa na mabasi yao! acha kuwatisha vijana.
 
lakini bado. haijafahamika
tarehe ya kuripoti
 
Kuripoti jkt kila mtu anaenda kivyake cha msingi uzingatie deadline tu(na ndio mana kwa mfano wanasemaga kuripoti ni kuanzia tarehe 01 mpaka 07).but kutoka jkt kwenda kozi za jwtz whatever ndo mnasafirishwa na mabasi yao! acha kuwatisha vijana.
Wakujitolea ambao wamepitia hatua zote muimu wanapelekwa kwa usafiri ambao upo juu ya jeshi (mara nyingi wanakodiwa mabasi), Baba kantuma anaenda mwenyewe.
 
Kwa hio makamanda mliorudishwa Home mmepewa updates gani?? Tujuzeni, mmepewa mrejesho wowote wa lini mnatakiwa kureport???
 
Back
Top Bottom