Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Kuna siku niliendaga hospital nikaziba la kulia nikaona lipo dhaifu kwa kutazama mbali kuliko la kulia, nikajua ni mimi tuu. Nikamuuliza na mwingine akasema hata yeye pia, sa sijajua ni binadamu wote au lah!
Hapo sasa mi sijui
 
Kupima kama Mashine Inasimama Ukiwa Peke yako wewe Mwenyewe Jaribu Kuwa kama Unakata mavi hivi Mashine lazima itikisike hapo umefuzu ila ukijaribu kukata mavi mashine ikitulia tuu inamaana ni Shoga over ****** kuna Style yake unabongoa then Unavuta pumzi kwa Ndani pumzi ndefu then unaisema ile ya Rick ros ile aah! then Unavuta pumzi ndefu wale madaktari wa Lugalo wanakua wanajua pia kama unapigwa nyuma bora usiende kwa sababu ****** utakua haufungi obvious
 
sisi uku kibaha barua ndo wameanza kupokea jana na mwisho tarehe 25,, so hapo kuitwa nadhan itakuwa next week
Na kwenye tangazo lao niliona walisema mchakato utaanza trh 20 April mpaka 20 May ila nimeshangaa kuna sehemu michakato imeanza mapema sana.
 
Kupima kama Mashine Inasimama Ukiwa Peke yako wewe Mwenyewe Jaribu Kuwa kama Unakata mavi hivi Mashine lazima itikisike hapo umefuzu ila ukijaribu kukata mavi mashine ikitulia tuu inamaana ni Shoga over ****** kuna Style yake unabongoa then Unavuta pumzi kwa Ndani pumzi ndefu then unaisema ile ya Rick ros ile aah! then Unavuta pumzi ndefu wale madaktari wa Lugalo wanakua wanajua pia kama unapigwa nyuma bora usiende kwa sababu ****** utakua haufungi obvious
Nimekupata sana. Kwaiy unaenda na afande m1 chooni au inakuaje hapo?

Maana sitaki kuamini kua utafanya ivyo hadharani
 
Nimekupata sana. Kwaiy unaenda na afande m1 chooni au inakuaje hapo?

Maana sitaki kuamini kua utafanya ivyo hadharani
Jeshini hamnaga Aibu kabisa bwana mdogo, lani pale unatema mzigo hadharani mbele y raia
 
Wamesema et awapokei vyeti vya kuanzia 2010 kurundi nyuma wakati nawapigia wana wangu Wa mikoani wanasema wao wamepikelewa sasa cjui kwann wanatufanyia hiv ss Wa huku
Kwa wahitimu wa kidato cha nne wanahitajika wa kuanzia 2010 mwisho 2014, hii ni kwa nchi nzima! Hakuna Wilaya itakayochukua form IV wa mwaka 2009 kurudi nyuma.

Hao waliochukuliwa Wana wako labda hawakuchukuliwa kwa sifa ya kidato cha nne, huenda ni wa degree au diploma
 
Back
Top Bottom