Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Ungesoma vema maelezo nliyoandika chini ya picha ungenielewa Mkuu! Figisufigisu zipo nyingi tu sababu sehemu yoyote penye ulaji lazima kutakuwepo na figisu, hii ni fact ya maisha.
Sasa brother watoto wa wakulima watapata kwa hali hiyo?
 
Kwa wale wenye degree,nawashauri tafuteni njia za panya,otherwise pale ni ngumu kupata.me pia nilihangaika,mwisho wa siku ikabidi nikubali kupitia njia zisizo rasmi.we fikiria kwa mkoa mkubwa kama arusha,eti graduates wanachukuliwa watatu tu,kuna haki hapo kweli?
 
Graduate watatu Mkoa mzima ha ha ha nafasi zenyewe ni za kujitolea mkuu sio Ajira
 
Kwa wale wenye degree,nawashauri tafuteni njia za panya,otherwise pale ni ngumu kupata.me pia nilihangaika,mwisho wa siku ikabidi nikubali kupitia njia zisizo rasmi.we fikiria kwa mkoa mkubwa kama arusha,eti graduates wanachukuliwa watatu tu,kuna haki hapo kweli?

Haki ipo mkuu.Si wanachukua watu kulingana na mahitaji yao.Sasa watachukuaje graduates wengi ilihali wanahitaji wachache
 
Kwa kifupi jeshi linahitaji zaidi wapiganaji ambao wengi ni form 4 na darasa la saba wachache wenye fani za mechanic,elictrical,plumbing etc.form 6 nao wanahtajika sana maana hawa ndio future officers of the army baada ya kupitia kozi mbalimbali.wenye degree kiukwel hawapewi nafasi sana,sababu za kutopewa kipaumbele ni nyingi sana siwezi kuziandika hapa.so kwa graduate hakikisha unatafuta refa atakaekusimamia kuanzia kupata jkt mpaka kupata nafasi ya kozi ya RTS.
Mimi nilikua huko mwaka juzi,lakini bahati mbaya nilivunjika mahali,hvyo nikaonekana siko fit tena kwa shuruba za kijeshi.
 
Mkuu usemacho ni kweli kabisa ,issue ya kuwa na Refa ni muhimu sana, yaani Refa ni Muhimu sana mkuu kuanzia kuingia Jkt mpaka kutaka kuingia kwenye kazi

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kifupi jeshi linahitaji zaidi wapiganaji ambao wengi ni form 4 na darasa la saba wachache wenye fani za mechanic,elictrical,plumbing etc.form 6 nao wanahtajika sana maana hawa ndio future officers of the army baada ya kupitia kozi mbalimbali.wenye degree kiukwel hawapewi nafasi sana,sababu za kutopewa kipaumbele ni nyingi sana siwezi kuziandika hapa.so kwa graduate hakikisha unatafuta refa atakaekusimamia kuanzia kupata jkt mpaka kupata nafasi ya kozi ya RTS.
Mimi nilikua huko mwaka juzi,lakini bahati mbaya nilivunjika mahali,hvyo nikaonekana siko fit tena kwa shuruba za kijeshi.
Bwashee umesahau na madakatari katika list hapo juu maana nao ni habari ingine
 
isma isma,ni kweli watu wa medicine and aeronatics engineering huwa wanachukuliwa uraian then wanapigishwa kozi ya uprivate kama miezi 6 hivi halafu ndio monduli panawahusu.ila hawa wengine wote lazima upite jkt kwanza ukachakazwe.
 
Wamesema et awapokei vyeti vya kuanzia 2010 kurundi nyuma wakati nawapigia wana wangu Wa mikoani wanasema wao wamepikelewa sasa cjui kwann wanatufanyia hiv ss Wa huku
 
Back
Top Bottom