baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,690
- 3,903
Nenda kibaha wanapokea mwisho tarehe 25thomas we ulifanya usaili ? kudadeki yaani ajira imenipita iyoo
Nenda kibaha wanapokea mwisho tarehe 25thomas we ulifanya usaili ? kudadeki yaani ajira imenipita iyoo
Ilala Paache hvo hvo Aisee kesho Kitakachotokea Ni Aibu na kelele kwa watu Mungu Wangu Tutangulie.Nooo hapana sijafurah hata kidogo
Maana najua kesho sisi inaweza kuwa hivyo hivyo
Mungu atutangulie
Amina
Kweli kabisa mkuuIlala Paache hvo hvo Aisee kesho Kitakachotokea Ni Aibu na kelele kwa watu Mungu Wangu Tutangulie.
Na kwanini tujipe matumaini hewa? TEMEKE imetoa picha halisi kwa Wilaya zingine hapa Dar, hakuna anayefurahia vijana wenzetu kukosa hii nafasi ila hii ndo hali halisi.Nooo hapana sijafurah hata kidogo
Maana najua kesho sisi inaweza kuwa hivyo hivyo
Mungu atutangulie
Amina
Vipi ushindani wake?Nenda kibaha wanapokea mwisho tarehe 25
hakuna ushindan wowote kwa ss coz ukifika tu wanapokea barua yako na wanakuuliza Elimu yako ili wazitenganisheVipi ushindani wake?
Kwahiyo hakuna barua nyingi za maombi?hakuna ushindan wowote kwa ss coz ukifika tu wanapokea barua yako na wanakuuliza Elimu yako ili wazitenganishe
Temeke kuna nini mkuu?Na kwanini tujipe matumaini hewa? TEMEKE imetoa picha halisi kwa Wilaya zingine hapa Dar, hakuna anayefurahia vijana wenzetu kukosa hii nafasi ila hii ndo hali halisi.
Nimefanyia usaili kinondoni....nishapimwa afya...nasubiri jaramba kesho..Mungu nitie nguvu nipiteNenda kibaha wanapokea mwisho tarehe 25
Hongera Sana Tata.Nimefanyia usaili kinondoni....nishapimwa afya...nasubiri jaramba kesho..Mungu nitie nguvu nipite
Asante brother kila la kheri na kwakoHongera Sana Tata.
Mkuu kwenye huo usaili kuna watu wamechujwa wengi sana?Nimefanyia usaili kinondoni....nishapimwa afya...nasubiri jaramba kesho..Mungu nitie nguvu nipite
Kinondoni wamepunguzwa wengi sana pia..ila wenye mapungufu tu...kama uko fresh mnabebwa...bado tupo wengi dana sp sijui tutapunguzwajeMkuu kwenye huo usaili kuna watu wamechujwa wengi sana?
Watachukuaa wasio na ndevuKinondoni wamepunguzwa wengi sana pia..ila wenye mapungufu tu...kama uko fresh mnabebwa...bado tupo wengi dana sp sijui tutapunguzwaje
Tunataka tuwakimbize Mara 10 Uwanjani Pia Kila mtu atatakiwa kupiga Pushup 30 Kwa mara moja kutakua na zoezi La Kupiga Squats at least 120 haya yatafanyika kwa muda wa siku nne Mfululizo Only Strong will survive.Kinondoni wamepunguzwa wengi sana pia..ila wenye mapungufu tu...kama uko fresh mnabebwa...bado tupo wengi dana sp sijui tutapunguzwaje
Mkuu, hayo majina waliita lini na afya wamepima lini?Kinondoni wamepunguzwa wengi sana pia..ila wenye mapungufu tu...kama uko fresh mnabebwa...bado tupo wengi dana sp sijui tutapunguzwaje
Squarts ni nini brotherTunataka tuwakimbize Mara 10 Uwanjani Pia Kila mtu atatakiwa kupiga Pushup 30 Kwa mara moja kutakua na zoezi La Kupiga Squats at least 120 haya yatafanyika kwa muda wa siku nne Mfululizo Only Strong will survive.