Panzermeyer
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 471
- 325
Hahaha acha utani bhanaJeshini hamnaga Aibu kabisa bwana mdogo, lani pale unatema mzigo hadharani mbele y raia
Hahaha acha utani bhanaJeshini hamnaga Aibu kabisa bwana mdogo, lani pale unatema mzigo hadharani mbele y raia
Duuuh, huu mwaka hatari Mkuu!nimepita leo hapo ofisi za halmashauri ya moshi.hilo nyomi nililoliona nikahisi labda ni lowasa anafanya kampeni.wtu walikua wengi sana kwa kweli.
Upo mkoa gani jombaasisi uku kibaha barua ndo wameanza kupokea jana na mwisho tarehe 25,, so hapo kuitwa nadhan itakuwa next week
Si ndo leo Mkuu au sio?Ilalaaaaaaa
Niko sehemu ya Tukio mpaka sasa hv watu Ni Wengi Sana.Si ndo leo Mkuu au sio?
Safi sana Mkuu kwa kuwahi sehemu ya tukio, mnafika 1500+?Niko sehemu ya Tukio mpaka sasa hv watu Ni Wengi Sana.
Yeke Tunavuka Tata .Safi sana Mkuu kwa kuwahi sehemu ya tukio, mnafika 1500+?
Mpaka sasa hv tumeitwa na kusogea karibu Sana na wakubwa ILA bado Uchakataji WA Majina Bado ndo tunasubiria Hapa.Mkuu Makanya tunaomba updates huko.
Aiseeee, sawa afandeeee.Mpaka sasa hv tumeitwa na kusogea karibu Sana na wakubwa ILA bado Uchakataji WA Majina Bado ndo tunasubiria Hapa.
Sema Brother hii Game haitawaliwi na Hasira kabisa hapa full Kuvumilia.Aiseeee, sawa afandeeee.
Vipi huko?Sema Brother hii Game haitawaliwi na Hasira kabisa hapa full Kuvumilia.
Bado mkuu wameitwa Form Wasichana.Vipi huko?
Sisi bado tunachoma mahindi hapa ilalaBado mkuu wameitwa Form Wasichana.