Nakuaminia Mkuu, chaji simu iwe full utupe updates.Ilala kesho mapeeemaa saa moja npo wilayan
Kwahiyo Mkuu ndani ya wiki wametaja majina, wamehakiki vyeti na kupima afya?Kkinondoni hamna shortcut....naona wenye vigezo tuu unapitaa...utajua huko mbele utapunguzwa wapi...
Aminia baba ngoja tukaone wenyewe kitakachotokea maana leo nmeona kwa mkuu wa mkoa huo msululu wa wanaopeleka vyeti dah ilala kuna watu wengi sanaaaNakuaminia Mkuu, chaji simu iwe full utupe updates.
Ili iite akiwa kwenye Panel ya Usail?Nakuaminia Mkuu, chaji simu iwe full utupe updates.
NdioKwahiyo Mkuu ndani ya wiki wametaja majina, wamehakiki vyeti na kupima afya?
Ilala na Temeke watu ni nyomi vibaya mnoooo, Temeke watu walikuwa kama 2,000 hivi.Aminia baba ngoja tukaone wenyewe kitakachotokea maana leo nmeona kwa mkuu wa mkoa huo msululu wa wanaopeleka vyeti dah ilala kuna watu wengi sanaaa
Umeomba ukiwa huko Iringa au ukiwa Dar?Iringa Saa 3 Asubuhi siku ya Jumatatu tunatakiwa.
Hiyo Wilaya ni ya kizungu Mkuu.Ndio
Iringa nilikimbia Ushindani Dar es Salaam baada ya Kuona Vijana kadhaa wana Umri wa miaka 25 Lakini wana Masters ikabidi nitafute basi mapema.Umeomba ukiwa huko Iringa au ukiwa Dar?
Huko mwitikio vipi?Iringa
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!!Iringa nilikimbia Ushindani Dar es Salaam baada ya Kuona Vijana kadhaa wana Umri wa miaka 25 Lakini wana Masters ikabidi nitafute basi mapema.
Mimi nimekuta Barua za Degree zimewekwa kwenye bahasha moja na hazijajaa watu naona wachache kwa level yangu kwani hata nilivyopeleka aliniuliza Kijana Form ngapi wewe nikatabasamu akaniuliza yule Afisa tarafa nikamwambia Degree.Huko mwitikio vipi?
Mkuu, vipimo vya macho vipi?Ndio
Unapimwa piaMkuu, vipimo vya macho vipi?
Kuna umbali wanakuwekea utazame?Unapimwa pia
Kuna herufi kadhaa unaziba jicho moja hili lingine linapigwa tochi...unaambiwa usome herufi sasa A sema D we hama mkoa tuuKuna umbali wanakuwekea utazame?
Si unaziba la kushoto unatazama la kulia au?Kuna herufi kadhaa unaziba jicho moja hili lingine linapigwa tochi...unaambiwa usome herufi sasa A sema D we hama mkoa tuu
yeah me nilipeleka jana hapakuwa na barua nying kwa kweliKwahiyo hakuna barua nyingi za maombi?