Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Vyeti vimekosewa majina labda yanapishana.....maswala ya umri...kuja na vyeti havijakamilika kwa wale wenye.degree hayo ni baadhi tuu wamepunguzwa watu kibao kama mia tatu hvi..huku mia kama mia tatu wengine wakisonga mbele
 
Huko watanipata ila wakisema mbio watavumbua Ussain Bolt mwingine. Ila huku nilipo mdebewedo tu hata sioni muitikio wa watu wengi ni wachache tu tena form 4 na drs 7.
 
Baada ya vipimo leo...kesho kuna mbio...phase inayofuata tutaambiwa...mbona maswali mengi wewe upo wapi
Mkuu mimi naenda mkoani wiki hii, ameniambia J3 kuna kuwasilisha vyeti. Sasa sijajua baada ya kuwasilisha itachukuwa muda gani mpaka waje kuita majina na kupima afya maana tarehe 9-5-2015 inabidi niwe Dar.
 
Sijakuelewa...unaenda mkoani moja kwa moja bila kupitia wilayani....kama ni hivyo basi ni dili hilo...ila dar wilaya.zote tatu bado stage ya mkoani haijafikiwa
 
Namaanisha nasafiri kwenda mkoa mwingine.
 
Yap kinondoni hiyo..tuna za zidi hapo
Kuna rafiki yangu yeye baba kantuma, anasema anashughulikuwa hapo. Nikamwambia tu kuwa awe makini, nimeongea nae leo anasema mambo kwake yanakaa fresh ila taarifa unazonipa wewe yeye hata hana. Nahisi atapigwa panga yule.
 
Kkinondoni hamna shortcut....naona wenye vigezo tuu unapitaa...utajua huko mbele utapunguzwa wapi...
 
Back
Top Bottom