Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

wote hatujui kitu humu bora hii thread ijadili mambo mengine tu swala jkt mtuachie wenyewe
 
alafu mnanukuu nn hii sio thread ya siasa uchama hauitajiki huku kama unataka siasa nenda ukajitangaze thread nyingine uko iv vitu si vya mchezo mchezo kabisa
 
Kuna watu hum wapo kwa ajili ya kuwakatisha wenzao tamaa, Kama huna uhakikika Na ukisemacho Ni bora ukae kimya Tu, maana kna watu walichawia Sana kipnd cha nyuma kuwa volunteer mwaka huu hawaendi lakn Sa hiv hatuwaon... Hivyo taarifa zozote usiztolee conclusion kwa kuskia tetesi , waacheni vijana wasubirie bahati zao!!
 
Kweli uchumi umeyumba ati jkt wanatakiwa kwenda na vifaa kama kipensi ya blue, raba ya kijani au nyeusi, mashuka mawili ya bluu bahari/mpauko,tisheti mbili za kijani, na track suti.
Source: Baba kanituma
 
Kifupi hii nchi inabana matumizi na pia inapambana na rushwa simple logic tuu baba kanituma wote form walikua wananunua(rushwa)au undugulazation izo zote Mimi naziita rushwa ambazo serikali ya awamu hii inapambana Nayo kwa nguvu zote.
Hitimisho;Kwa maelezo yangu hapo juu baba kanituma hazipo mbona awamu hii usaili ulikuwa wazi sana na wenye sifa wote wamepita binafsi sijatumia hata sh 1 kutoa rushwa, wazee nawashaur mjipange mwakan mtupe tena karata yenu kumbuken jkt makao wamekanusha Mara kadhaa hakuna MTU awezae kumwingiza jeshin pasipo kufanya usaili mikoani kama walivyofanya may na June nafikiri nine eleven's nawatakia kazi njema.
Kumbukeni huu ni utawala mpya na una taratibu zake msiishi kwa kukariri.
Acha kupotosha baba kanituma zipo nyingi sana
 
Kweli uchumi umeyumba ati jkt wanatakiwa kwenda na vifaa kama kipensi ya blue, raba ya kijani au nyeusi, mashuka mawili ya bluu bahari/mpauko,tisheti mbili za kijani, na track suti.
Source: Baba kanituma
TAARIFA KWA UMMA
1. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawatangazia vijana wa Kitanzania wito wa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli awamu ya pili na Vijana wa Kujitolea.
2. Vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo hayo ni kama ifuatavyo:
3. Vijana wa Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli Awamu ya Pili.
Kundi hili linahusisha wanafunzi wote waliomaliza kidato cha sita mwezi Mei mwaka 2016, ambao hawakuchaguliwa kwenye mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli awamu ya kwanza na hawakupata nafasi ya kujiunga vyuo vya elimu ya juu.
Aidha, orodha kamili ya majina na makambi waliyopangiwa inapatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Kujenga Taifa, ambayo ni www.jkt.go.tz .
1. Vijana wa Kujitolea
Kundi hili linahusisha Vijana wote waliosailiwa mwezi Mei na Juni mwaka 2016 katika ngazi za wilaya na mkoa na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT.
3. Vijana hao wa Mujibu wa Sheria na Kujitolea wanatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT waliyopangiwa wakiwa na vifaa vifuatavyo:
4. Bukta ya rangi ya bluu iliyokoza (Dark blue) yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma isiyo na zipu, iwe na urefu unaoishia magotini.
1. Raba ngumu za michezo zenye rangi ya kijani au nyeusi.
6. Shuka jozi mbili za kulalia zenye rangi ya bluu bahari ukubwa wa 4x6.
7. Soksi za michezo jozi mbili rangi nyeusi.
6. Chandarua moja ya duara rangi ya bluu au kijani ukubwa wa 4x6.
1. Nguo za michezo (truck suit) jozi moja rangi ya kijani au bluu.
1. Fulana (T-shirt) ya kijani isiyokuwa na maandishi yoyote.
1. Mavazi hayo yasiwe ya kubana mwili.
4. Inasisitizwa kuwa vijana wa kujitolea wanaotakiwa kuripoti makambini ni wale tu waliopita katika usaili kwenye ngazi za wilaya na mikoa na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT.
5. Vijana hao wa Mujibu wa Sheria na Kujitolea wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 01 mpaka 05 Desemba 2016 kwa kujitegemea nauli ya kwenda na kurudi.
BONYEZA HAPA KUONA VIKOSI WALIVYOPANGIWA VIJANA KWA MUJIBU WA SHERIA 2016
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya JKT
Tarehe 17 Novemba 2016
 
Jkt ni jipu aisee kuna wadogo zetu kule wapo tangia july 2015 hadi leo wanakula msoto tu hamna cha ajira wala nini soon miaka miwili tena wengine wana degree mpaka master pia wapo kudaaaaaaaadeki walahi

Posho kwa mwezi sh elfu 50 tu eti
Nani alikwambia JKT Inaajiri?!!
 
Nani alikwambia JKT Inaajiri?!!
Mkuu ulitaka walipwe posho milioni ama? Jkt unafundishwa uzalendo sio chombo kinachoajiri. We unasema hao tangu july 2015? Waulizie mabraza wa OP Sensa walivyokaa makambini au OP Jiajiri ilikuaje. Jakata somo kubwa ni uvumilivu
 
Mkuu ulitaka walipwe posho milioni ama? Jkt unafundishwa uzalendo sio chombo kinachoajiri. We unasema hao tangu july 2015? Waulizie mabraza wa OP Sensa walivyokaa makambini au OP Jiajiri ilikuaje. Jakata somo kubwa ni uvumilivu
Watu wanakata Tamaa na JAKATA sababu wanachukulia kama ni kichaka cha Ajira, you will be disappointed Kama utaenda na Expectations za Ajira.
 
Watu wanakata Tamaa na JAKATA sababu wanachukulia kama ni kichaka cha Ajira, you will be disappointed Kama utaenda na Expectations za Ajira.
Ni kweli kabisa mkuu, enzi zetu tukiwa kwenye malengo sumu ya operation shamba pale 837kj all we thought about ni kumaliza lengo ili upumzike huwazii ajira. Ajira jkt ni kama betting tu
 
***** baba kanituma mpo izo mambo hamna safari hii mtataga na kuatamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Masada jamani mimi baba kunitumia... ' baba amenipa chance ya kuchagua kambi yoyote ya Jakata, naomba kujua kambi hisiokua na shuruba Sana.... Si mnajua tena baba kanituma wengi wetu mayai.....

Nenda Ruvu
 
Kuna viumbe humu n wajuaji sana kukatishana tamaaa ndio hulka zao mwanzoni mlituambia hatwendi ad mwakani Na usaili utaanza upya yakwapi Sasa Na tuacheni movie iendelee wakienda hawakwenda yatajulikana mwisho wa safari
 
Back
Top Bottom