Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Georgemkali wao bih please u need to take a pill and chill we were raised tofaut sana Na Kila mtu anamtazamo wake so it's better Kila mtu akastick Na anachokiamini at the end of the day Kila mmoja atajijua if alikua sahihi au lah tusijifanye wajuaji let it flow tutapata majawabu mwishowe
 
Asante baba kanituma na subiri time ifike tu.. Nikafanye yangi
 
nahamu na nyie maana mta wekwa kambi mbili zinazo fahamika kwahiyo karibuni sanatulijenge taifa bila bati misumari wala cement huku kufa hufi ila chamoto utakiona
 
Muwe watulivu masuala yoote yatanyooka mwakani,tunajenga uchumi kwanza
 
Back
Top Bottom