Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

hiv kuna kitu nataka mnieleweshe kidogo kwa hanae elewa kuna wale ambao wanaingia kwa form maalum bila hata usaili wanachukua mda gan kuingia kambin wanafika na wale waliosailiwa kwa wakati mmoja au?na hizo form huwa zinatoka na kwa watu gan
wale watakaopewa form wataingia wiki tatu baada ya waliopitia mikoani kuingia yani hawaingii kwa pamoja
 
Msiishi kwa mazoea at all. U should learn to read the heads of time. Nimeshuhudia form 6 zikirudishwa makao kwasababu ya kukosa watu waliokidhi vigezo. Japo walifanya usahili mara mbili mkoa wa iringa. Sasa kama unasubiri za baba kantuma endeleeni. Mnapeana moyo kwamba baada ya wiki tatu? Jeshi linalisha tu watu wakisubiri baba kantuma? Simple logic. Yani waje katikati ya 6 weeks? Hayo mambo labda CCP huko sio jeshini. Kama uliona ugumu wa kuandika maombi, kuhakikiwa vyeti, kuwa interviewed, kupimwa afya kama wengi walivyofanya kupitia wilayani na baadae wakawa eligible basi subiri mwakani.
 
Hujaeleweka Vema hapo kwenye form zilizorudishwa Mkuu ebu fafanua kidogo!!
 
Kifupi hii nchi inabana matumizi na pia inapambana na rushwa simple logic tuu baba kanituma wote form walikua wananunua(rushwa)au undugulazation izo zote Mimi naziita rushwa ambazo serikali ya awamu hii inapambana Nayo kwa nguvu zote.
Hitimisho;Kwa maelezo yangu hapo juu baba kanituma hazipo mbona awamu hii usaili ulikuwa wazi sana na wenye sifa wote wamepita binafsi sijatumia hata sh 1 kutoa rushwa, wazee nawashaur mjipange mwakan mtupe tena karata yenu kumbuken jkt makao wamekanusha Mara kadhaa hakuna MTU awezae kumwingiza jeshin pasipo kufanya usaili mikoani kama walivyofanya may na June nafikiri nine eleven's nawatakia kazi njema.
Kumbukeni huu ni utawala mpya na una taratibu zake msiishi kwa kukariri.
 
Hujaeleweka Vema hapo kwenye form zilizorudishwa Mkuu ebu fafanua kidogo!!
Kikawaida baada hatua zote za awali kukamilika watu waliochaguliwa hukatwa mabogi na kupangiwa kambi zao. Unapewa form aina mbili. Moja ni ile colourless ambayo huwa na copy mbili. Zile ukizijaza moja inaenda kambini ulipopangiwa( itatumika kama referral) moja huenda makao kwaajili ya kuingiza details zako. Aina ya pili kwa mwaka huu ndo form coloured yenye nembo ya jkt no. 27. Hii ukiijaza ndo utambulisho wako ukienda kambini. Na kama ww ni baba kantuma kama walivyotangaza watu kureport kati ya tarehe 1-5 kama kufikia tarehe 2 hujapata form acha tu panga mbinu nyingine mwakani. Maana form ile ndo utambulisho
 
Umesomeka Kaka shukrani kwa Taarifa
 
ACHENI kuwapa homa za kipuuzi wenzenu...mnaosubiri form mimi nina HAKIKA zipo kwahyo subiri kuanzia tar 17 mwez wa 12 mtaanza kupata na mtaingia kuanzia 25 ....by moto wa maji mwenyekiti wa huu uzi
Mwaka huu watataga yai VIZA ...waliokosa nafasi wengi wao ndio walikuwa wanashinda humu wanawaletea uchawi vijana wa watu
 
Wengi mnaandika hamjui lolote kuhusu jeshi....Form ni lazima na zinatolewa kwa wakubwa.....
  1. waeleweshe vizuri afu jeshini hamnaga rushwa hizi nafasi zinatokaga kama gift of honor kwaaskali wa kada mbalimbali na kuhusu wala la wanaendaje fomu zinatolewa then unaangiwa na kambi ili kufanya mjazo wawale ambao hawakujiunga na mafunzo kwa sababu mbalimbali kama magonjwa, vifo n.k na usizani kama ulifanya usaili miez minne nyuma na kuhakkikiwa ukawa safi temu hii ukienda lazma uhakikiwe tena na ninaimani wengi mtarudi tu maana miez minne migiz sana kwa magonjwa nyemelezi kuingia mwilin
 
Back
Top Bottom