mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]***** unaguna nn wewe c baba kanituma wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]***** unaguna nn wewe c baba kanituma wewe
Watataga la mbuni ....kantuma/ kamlete system haipo mwaka huu...then pitia thread uone kantuma walivyokuwa wanaufanyia husda uzi huu ...walikuwa wanawachawia vijana wa watuHv kwani mtu akienda kwa njia ya baba kanituma wew inakukera nin hasa acha kila mtu abebe msalaba wake kivyake vyake.
Haimkeri mtuHv kwani mtu akienda kwa njia ya baba kanituma wew inakukera nin hasa acha kila mtu abebe msalaba wake kivyake vyake.
Wewe ni nanga wa kwata au maovyoovyoJe nitaenda kuwa nanga kweli?
Point being??Huwa nacheka saana ninaposikia mtu ambaye hata usajenti hana anavyowatisha watu kuwa mara watakoma , mara oohoo cha moto utakiona , mara ooohooo cha mtemakuni utakoma nakusubiria ukija huku hawa ndiyo vilaza wasiokuwa na shule kichwani na kukimbilia kivuli cha jeshi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Clearly didn't make any sense. [emoji17]Point being??
Amen to that....Clearly didn't make any sense. [emoji17]
Msiishi kwa mazoea at all. U should learn to read the heads of time. Nimeshuhudia form 6 zikirudishwa makao kwasababu ya kukosa watu waliokidhi vigezo. Japo walifanya usahili mara mbili mkoa wa iringa. Sasa kama unasubiri za baba kantuma endeleeni. Mnapeana moyo kwamba baada ya wiki tatu? Jeshi linalisha tu watu wakisubiri baba kantuma? Simple logic. Yani waje katikati ya 6 weeks? Hayo mambo labda CCP huko sio jeshini. Kama uliona ugumu wa kuandika maombi, kuhakikiwa vyeti, kuwa interviewed, kupimwa afya kama wengi walivyofanya kupitia wilayani na baadae wakawa eligible basi subiri mwakani.
daah ilifanyika lini mkuu mbona sijasikia taarifa yoyote?Ndio kijana
Haijafanyika mkuu waliishia kukusanya vyeti tu vya walengwa wakapiga kimya mpaka sasa.daah ilifanyika lini mkuu mbona sijasikia taarifa yoyote?
au ilikua kimya kimya
Hii ya professional bado sanaa wakuuHaijafanyika mkuu waliishia kukusanya vyeti tu vya walengwa wakapiga kimya mpaka sasa.
hapo sawa mkuu nakuelewa...ukipata info inaanza lini tujulishane mkuuHaijafanyika mkuu waliishia kukusanya vyeti tu vya walengwa wakapiga kimya mpaka sasa.
hawa jamaa hawaeleweki kabisa mkuu...ngoja tuvute subira kama hawa wa jkt wameenda na sisi tutajia hatima yetu soonHii ya professional bado sanaa wakuu
Yeah subra ndo kitu cha msingihawa jamaa hawaeleweki kabisa mkuu...ngoja tuvute subira kama hawa wa jkt wameenda na sisi tutajia hatima yetu soon
Wenye shule zao sasa.Masters after six months unakua captain
Bachelor degree anakuwa full lieutenant
Form six na diploma hadi waende kozi ndio wanabeba jiwe lingine
Si kwel mkuu nyota ya pili haina kozi hiyo inatolewa kwa wote waliofuzu mafunzo ya officer cadet.Wenye shule zao sasa.Masters after six months unakua captain
Bachelor degree anakuwa full lieutenant
Form six na diploma hadi waende kozi ndio wanabeba jiwe lingine