Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Moto wa maji usiwadanganye watu huu utaratibu awamu hii hamna kuna rafk zangu wamejaribu kufuatilia kwa wakubwa mpka sasa bila mafanikio wakubwa nao waoga kupiga dili za baba kanituma ukweli mchungu lkn ukweli baba kantuma hamna mjipange mwakan usaili
 
Na pia someni kwenye tangazo lililotolewa na makao makuu jkt
Nanukuu;"inasisitizwa ya kuwa vijana wa kujitolea ni wale waliosailiwa may na June na kukidhi vigezo ndio wanaotakiwa kuripoti vikosin"mwisho wa kunukuu tafuta tangazo LA jkt maelezo ya mwisho ya tangazo lao
 
  1. waeleweshe vizuri afu jeshini hamnaga rushwa hizi nafasi zinatokaga kama gift of honor kwaaskali wa kada mbalimbali na kuhusu wala la wanaendaje fomu zinatolewa then unaangiwa na kambi ili kufanya mjazo wawale ambao hawakujiunga na mafunzo kwa sababu mbalimbali kama magonjwa, vifo n.k na usizani kama ulifanya usaili miez minne nyuma na kuhakkikiwa ukawa safi temu hii ukienda lazma uhakikiwe tena na ninaimani wengi mtarudi tu maana miez minne migiz sana kwa magonjwa nyemelezi kuingia mwilin
Acha porojo hakuna form ...ndugu yangu
 
Na pia someni kwenye tangazo lililotolewa na makao makuu jkt
Nanukuu;"inasisitizwa ya kuwa vijana wa kujitolea ni wale waliosailiwa may na June na kukidhi vigezo ndio wanaotakiwa kuripoti vikosin"mwisho wa kunukuu tafuta tangazo LA jkt maelezo ya mwisho ya tangazo lao
iyo nukuu yako wewe sio yetu sisi
 
Msiishi kwa mazoea at all. U should learn to read the heads of time. Nimeshuhudia form 6 zikirudishwa makao kwasababu ya kukosa watu waliokidhi vigezo. Japo walifanya usahili mara mbili mkoa wa iringa. Sasa kama unasubiri za baba kantuma endeleeni. Mnapeana moyo kwamba baada ya wiki tatu? Jeshi linalisha tu watu wakisubiri baba kantuma? Simple logic. Yani waje katikati ya 6 weeks? Hayo mambo labda CCP huko sio jeshini. Kama uliona ugumu wa kuandika maombi, kuhakikiwa vyeti, kuwa interviewed, kupimwa afya kama wengi walivyofanya kupitia wilayani na baadae wakawa eligible basi subiri mwakani.

Kwani mkuu jkt ndo unapaita jeshi au sijakuelewa? CCP huko si kuna wengine wanatoka uko jkt unapopaita jeshi kujiunga ccp? nani kakwambia uko jkt watu wanaingia tu hivi wanaanza kozi? kwani baba kanituma hawapimwi?

Idadi ya watu kutoka mikoani ni wachache sana na hawatatosha makambi yote ya jkt, huwezi kuepuka baba kanituma ata siku moja.

Walio na fomu zao kwa baba kanituni ni wengi mno; mkuu wa jkt, familia ya mwl Nyerere, mkuu wa jwtz, maofisa wengi tu wa vyeo vya juu, wastaafu wa jw na jkt waliowahi kua wakuu. Hao ndo unakuta hawana watu wengi ndo uwapa marafiki zao fomu
 
Na Kambi this time zimeongezwa Na Hawa wanaokwenda watapimwa tena means kunao watakaokosa sifa za kuendelea japo awali walikua fit kiafya possibility kubwa ya baba kanituma Bado ipo
 
iyo nukuu yako wewe sio yetu sisi
Nimenukuu kutoka kwenye tangazo LA mmjkt na ukweli ni kwamba nyie mnaetaka baba kanituma mtapigwa hela shauri yenu wenzenu safari hii wamepigwa jeki kwenye usahili na wengine walishindwa kubebeka nimewaona wengi tuu wakipigwa chini na hela wametoa so kuweni makini na kumbuken vijana saivi hawaendi na fomu mkononi kama kipindi cha nyuma fomu na majina yao vimeshatangulia kwa mujibu wa maelezo ya washauri migambo utashangaza wew unaenda na fomu yako mkononi cjui utajieleza vipi
 
Na Kambi this time zimeongezwa Na Hawa wanaokwenda watapimwa tena means kunao watakaokosa sifa za kuendelea japo awali walikua fit kiafya possibility kubwa ya baba kanituma Bado ipo

Eti mzee Waitara mjukuu wake akose fomu ya kwenda jkt mpaka akazunguke uwanja? au Msuguli na Muhuga wakati huo utaratibu ulikwepo kitambo tu, familia wa Nyerere yenyewe wanapewa fomu 50..wanawapa wajukuu na marafiki.

Nenda uko jkt utakutana na watu kutoka Butiama mpaka utashangaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimenukuu kutoka kwenye tangazo LA mmjkt na ukweli ni kwamba nyie mnaetaka baba kanituma mtapigwa hela shauri yenu wenzenu safari hii wamepigwa jeki kwenye usahili na wengine walishindwa kubebeka nimewaona wengi tuu wakipigwa chini na hela wametoa so kuweni makini na kumbuken vijana saivi hawaendi na fomu mkononi kama kipindi cha nyuma fomu na majina yao vimeshatangulia kwa mujibu wa maelezo ya washauri migambo utashangaza wew unaenda na fomu yako mkononi cjui utajieleza vipi

Mkuu jeshi ni nidhamu, hatuongei from nowhere..hivi pale getini ukifika unakutana na wanaoandikisha/mapokezi unakutana na private na service man..majina ya magenerali ata kama alistaafu bado zina nguvu
 
Ngoja tuangalie hii muvi ila ukweli ni huo baba kanituma hamna msikariri zama zimebadilika endeleeni kujifariji
 
Endeleeni kujifariji na mjue saiv kuna marejebisho makubwa yanafanyika kwenye ivi vyombo vya ulinzi coz uozo mwing umejaa kutokana na izo baba kanituma zenu
 
Back
Top Bottom