Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Unajua hizi ni tabia za kishirikina wengine tunapenda vijana wenzetu mfanikiwe ila mtu kwakua amekosa basi yeye kazi yake ni kufitinisha ...Hakika hizo ni tabia mbaya sanaa...Hongereni sanaa
Wazi mkuu. Hizi ni tabia za Kiafrika.. Ndio maana Trump hatupendi
 
Kwa JKT ukiwa sio muoga na ukawa mjanja mjanja, kujiongeza vya kutosha unaweza doji vizuri tu uka punguza usingizi, ila ukiwa mteru , kila folen upo uta data na usingizi.

Ila mziki upo TPDF na TMA ukileta janja zako unaweza pshana na mwenge.....

Ndo maana mazombi yamejaaa kule kipindi cha HELL WEEKS
Mteru ndo wapi?
 
Back
Top Bottom