Tafadhal Nkanga Acha kubadilisha mwelekeo wa jahazi...waziiiiiiiTarehe imesogezwa mbele mpaka mwakani
Tafadhal Nkanga Acha kubadilisha mwelekeo wa jahazi...waziiiiiiiTarehe imesogezwa mbele mpaka mwakani
Jkt uvumilivu ukifanya masihara unatoroka koziMuda si mrefu watu wa jkt wata unsubscribe huzi huu..wakapambane na life
Karibu tena.Tarehe imesogezwa mbele mpaka mwakani
Kupishana na mwenge ndo kupi huko mkuu.Kwa JKT ukiwa sio muoga na ukawa mjanja mjanja, kujiongeza vya kutosha unaweza doji vizuri tu uka punguza usingizi, ila ukiwa mteru , kila folen upo uta data na usingizi.
Ila mziki upo TPDF na TMA ukileta janja zako unaweza pshana na mwenge.....
Ndo maana mazombi yamejaaa kule kipindi cha HELL WEEKS
KufukuzwaKupishana na mwenge ndo kupi huko mkuu.
Tarehe imesogezwa mbele mpaka mwakani
Nkanga ajira za walimu very soon. Kuwa mpole.Tarehe imesogezwa mbele mpaka mwakani
Fala ww uskari ni utumwa Mimi niliacha coz siwezi kuwa kibaraka wa wanasiasa na kunyeshewa mvuaNdugu yangu Nkanga stress zitakuua, acha kuwaletea uchawi vijana.
Ni PM nikupekazi yakunifulia gwanda walau upate ela za vocha.
Uongo nkanga wewe ulienda CCP na saivi upo chomboni askari uliyesoteshwa miezi mitano bila mshahara ila tulia very soon mambo yenu yatakua poa usikate tamaa.Fala ww uskari ni utumwa Mimi niliacha coz siwezi kuwa kibaraka wa wanasiasa na kunyeshewa mvua
Duuh mimi nlikosa nafasi pamoja na kuwa na MastersWewe itakuwa unalipenda jeshi na huna sifa za kwenda huko kutwa macho kodo kuangalia Uzi ambao haukuhusu msomi uchwara wew unafikiri izo GPA za upper second class hatunazo *****
Heshimianeni huwezi jua Nkanga anaweza kuwa R.C halafu wewe polisi ukawa unampigia salutiNdugu yangu Nkanga stress zitakuua, acha kuwaletea uchawi vijana.
Ni PM nikupekazi yakunifulia gwanda walau upate ela za vocha.
Kweli ulikuwa askari ww?Fala ww uskari ni utumwa Mimi niliacha coz siwezi kuwa kibaraka wa wanasiasa na kunyeshewa mvua
Nimepita jakata then ccp baadae nikaachaKweli ulikuwa askari ww?
Hahahahaha mkuuUongo nkanga wewe ulienda CCP na saivi upo chomboni askari uliyesoteshwa miezi mitano bila mshahara ila tulia very soon mambo yenu yatakua poa usikate tamaa.
Mkono mtupu haulambwi tafuta pesa ya kuhongaDuuh mimi nlikosa nafasi pamoja na kuwa na Masters
Hahahah! Sema ulikosa nafasi ndugu kama hautaki kuwa mtumwa wa wanasiasa kwanini unashinda humu kuilaumu serikali kuwa haitoi ajira kataa huo utumwa kwa kujiajiri tukuone mwamba ...tehe tehe SIZITAKI MBICHI HIZI MKUBWA WEWEFala ww uskari ni utumwa Mimi niliacha coz siwezi kuwa kibaraka wa wanasiasa na kunyeshewa mvua
Mimi nimepita jakata kitambo na nimepita ccp huwezi kunidanganyaHahahah! Sema ulikosa nafasi ndugu kama ulhautaki kuwa mtumwa wa wanasiasa kwanini unashinda humu kuilaumu serikali kuwa haitoi ajira kataa huo utumwa kwa kujiajiri tukuone mwamba ...tehe tehe SIZITAKI MBICHI HIZI MKUBWA WEWE
Kwa unataka kuniambia mkuu siwezi kuingia kwa uwezo wangu tu wa kitaalumaMkono mtupu haulambwi tafuta pesa ya kuhonga