Panneta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 322
- 233
OP-MAGUFULIOperation ya mwaka huu inaitwaje
OP-MAGUFULIOperation ya mwaka huu inaitwaje
Wa mujibu wanafanya koz mara 2. Hili goma nahic tutakuwa nao mwanzo mwisho boy.Wale ni wa Mujibu, Miezi mitatu watasepa watatuachia Kijiji na Good Enough Kambi Mpya zinafufuliwa so All Good Mzee.
Ok. Nimekuelewa mkuu. Ngoja tusubiri tuone.Sio kwamba wanafanya kozi mara mbili bali wanaotakiwa kwenda ni wale ambao hawakubahatika kwenda katika intake ya kwanza.Na kozi yao itakua ni ya miezi mitatu mkuu.
Haina kudevela yote tunayajua hayo op. hapa kazi tu ovaMmh...!msilolijua litawatesa sana wapendwa ....ila ni vema kuwa imagination.....kuliko kuwa jiwe....msimu wa kilimo umeanza... Natamani niione furaha yenu hii mpaka mwisho....kama itabaki hii hii. ...ni mwendo was chenja.....jembe.....
Hapana, Hawa ni wale ambao hawakwenda round ya Kwanza na wamekosa nafasi ya kuendelea na Elimu ya Juu.Wa mujibu wanafanya koz mara 2. Hili goma nahic tutakuwa nao mwanzo mwisho boy.
Nadhani hawajui kuwa Kurutu ni kimashine kidogo cha jeshi Chenye kuweza kufanya kazi za aina zote jeshini!Mmh...!msilolijua litawatesa sana wapendwa ....ila ni vema kuwa imagination.....kuliko kuwa jiwe....msimu wa kilimo umeanza... Natamani niione furaha yenu hii mpaka mwisho....kama itabaki hii hii. ...ni mwendo was chenja.....jembe.....
Mmh...!msilolijua litawatesa sana wapendwa ....ila ni vema kuwa imagination.....kuliko kuwa jiwe....msimu wa kilimo umeanza... Natamani niione furaha yenu hii mpaka mwisho....kama itabaki hii hii. ...ni mwendo was chenja.....jembe.....
Wale waliosema wanajitoa jf wazalendo tukienda mwaka huu nawaomba wajitoe sasa
Kweli mkuu ngoja tukakomae tuuhata wakijitoa haita saidia kuongeza wala kupunguza chochote humu, anaweza akajitoa na akafungua ID nyingine.
Imekuaje sasa? Tuwe tunaweka Akiba ya manenoHalafu jamaa sijui anajiona yeye peke yake ndiye atakayeenda huko JKT, mbona wengine form zipo mavyumbani ila tunakubali uhalisia uliopo.
Sio rahisi kwenda watu kule ikiwa intake iliyopita bado ipo makambini, tena wapo wengi tu. Na hao nao hawajaanza koz vilevile kutokana na ishu ya pesa.
Imekuaje sasa mbona wanaenda? Tuwe tunaweka Akiba ya manenoJiulize kwanza pesa zilizonunua ndege za abiria zilitoka kwenye bajeti gani? Pesa za ujenzi wa uwanja wa ndege chato(Chato Airport) zilitengwa kutoka kwenye bajeti ipi?
Imekuaje sasa? Tuwe tunaweka Akiba ya manenohaito fika huko ni mwenzi wa tano mwanzoni au katikati.