Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

[emoji85] [emoji85] mkwanguzii

.... hapana umenishinda tabia mkuuu
 
Hilo ni jeshi au mbayuwayu? tokea lini karne hii unawapa watu MT no. alafu kozi hawajapiga, unadhani hawawezi kuwa unfit kabla ya kozi? au vp ndo wanataka kufanya bora iende tu
Kama hujui kitu kaaa kimya.

Madogo wamepewa MT namba tayari, hata walioenda juzi kutoka Mgulani wamepewa.
 
WASISINGIZIE VIFO.. WAZALENDO HAWAFI TUPO TUNAWASIKILIZIA HAD WENYEWE WAFE
Eti hawafi!!subirini intro ndo mtaelewa jeshi nini!!sisi kipindi tupo wazalendo tulikuwa tunabembelezwa hadi nikasema kumbe jeshi ni rahisi hivyo!!siku nikawa nawauliza hivi tunamaliza lini! Kumbe ngoma ndo baado mbichi tunatumikia uzalendo tuu!!haki ya mungu siku ya siku mzigo ulipoanza rasmi (intro) ***** kama sio vyeti vyangu mbona nilikuwa niwaachie jeshi lao!!!![emoji3] [emoji3]
 
ungeondoka mkuu kwasababu wao hawachukui vyeti original ni nakala tuu.
 
Rais Magufuli Alitaka Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) Liongeze Kasi ya Uzalishaji wa Mazao ya Chakula

Shirika la uzalishajimali lililo chini ya Jeshi la Kujenga Taifa (Suma – JKT) litaanza kutekeleza mpango wa kufuga samaki kwa kutumia vizimba (Cages) katika bahari ya Hindi baada ya mpango huo kuonesha mafanikio makubwa katika mito na maziwa mbalimbali hapa nchini.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Michael Isamuhyo muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Meja Jenerali Isamuhyo amesema ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba umepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ziwa Viktoria na kwamba ili kupanua ufugaji huo Suma-JKT inajielekeza kufuga samaki katika bahari ya Hindi.

Ameongeza kuwa pamoja na ufugaji wa Samaki, Rais Magufuli ameliagiza Jeshi la Kujenga Taifa kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na shughuli zilizotajwa katika misingi ya uanzishaji wa jeshi hilo ili Serikali isipate gharama za kununua chakula kwa ajili ya vijana wanaokwenda kupata mafunzo ya JKT na pia kupata chakula cha ziada ambacho kitatumika kutatua tatizo la uhaba wa chakula katika maeneo yatakayokumbwa na uhaba.

Meja Jenerali Isamuhyo ameongeza kuwa Rais Magufuli ameitaka JKT kujenga mabwawa kwa ajili ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji katika maeneo yanayofaa kwa kilimo hicho.

Aidha, Mkuu huyo wa JKT amebainisha kuwa JKT itahakikisha inasimamia utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Rais na kuongeza kuwa kazi hii itakwenda sambamba na utekelezaji wa majukumu mengine ya JKT yaliyoainishwa katika uanzishwaji wake mwaka 1963 ikiwemo ujenzi kwa gharama nafuu.

Wakati huo huo, Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Jenerali Mstaafu George Marwa Waitara Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

08 Novemba, 2016
 
Haa baba hiyo nafasi ya kuingia hata pale hangani uipate wapi dadeki kitanda unakiona lakini mda hata wa kukisogelea huupati[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hukuwahi kuwa mlinzi wa hanga?? Ungeamsha mchana kweupe
 
Haa baba hiyo nafasi ya kuingia hata pale hangani uipate wapi dadeki kitanda unakiona lakini mda hata wa kukisogelea huupati[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu tupe experience kidogo Kaka,
 
Haa baba hiyo nafasi ya kuingia hata pale hangani uipate wapi dadeki kitanda unakiona lakini mda hata wa kukisogelea huupati[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa JKT ukiwa sio muoga na ukawa mjanja mjanja, kujiongeza vya kutosha unaweza doji vizuri tu uka punguza usingizi, ila ukiwa mteru , kila folen upo uta data na usingizi.

Ila mziki upo TPDF na TMA ukileta janja zako unaweza pshana na mwenge.....

Ndo maana mazombi yamejaaa kule kipindi cha HELL WEEKS
 
Rais Magufuli Alitaka Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) Liongeze Kasi ya Uzalishaji wa Mazao ya Chakula

Shirika la uzalishajimali lililo chini ya Jeshi la Kujenga Taifa (Suma – JKT) litaanza kutekeleza mpango wa kufuga samaki kwa kutumia vizimba (Cages) katika bahari ya Hindi baada ya mpango huo kuonesha mafanikio makubwa katika mito na maziwa mbalimbali hapa nchini.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Michael Isamuhyo muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Meja Jenerali Isamuhyo amesema ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba umepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ziwa Viktoria na kwamba ili kupanua ufugaji huo Suma-JKT inajielekeza kufuga samaki katika bahari ya Hindi.

Ameongeza kuwa pamoja na ufugaji wa Samaki, Rais Magufuli ameliagiza Jeshi la Kujenga Taifa kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na shughuli zilizotajwa katika misingi ya uanzishaji wa jeshi hilo ili Serikali isipate gharama za kununua chakula kwa ajili ya vijana wanaokwenda kupata mafunzo ya JKT na pia kupata chakula cha ziada ambacho kitatumika kutatua tatizo la uhaba wa chakula katika maeneo yatakayokumbwa na uhaba.

Meja Jenerali Isamuhyo ameongeza kuwa Rais Magufuli ameitaka JKT kujenga mabwawa kwa ajili ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji katika maeneo yanayofaa kwa kilimo hicho.

Aidha, Mkuu huyo wa JKT amebainisha kuwa JKT itahakikisha inasimamia utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Rais na kuongeza kuwa kazi hii itakwenda sambamba na utekelezaji wa majukumu mengine ya JKT yaliyoainishwa katika uanzishwaji wake mwaka 1963 ikiwemo ujenzi kwa gharama nafuu.

Wakati huo huo, Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Jenerali Mstaafu George Marwa Waitara Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

08 Novemba, 2016
hiiii taarifa upande flani inamatumaini upande flan bado akuna jipu kamili la wazalendo wa mwaka huu kama wanakwenda au la
 
Kwa JKT ukiwa sio muoga na ukawa mjanja mjanja, kujiongeza vya kutosha unaweza doji vizuri tu uka punguza usingizi, ila ukiwa mteru , kila folen upo uta data na usingizi.

Ila mziki upo TPDF na TMA ukileta janja zako unaweza pshana na mwenge.....

Ndo maana mazombi yamejaaa kule kipindi cha HELL WEEKS
2011 kambi fulani hivi, ikifika saa sita usiku chenja zikikolea nilikuwa naomba kwenda haja kila siku. Unaruhusiwa kwenda lakin unaacha vest na sweta ili barid likugonge vizuri usilale huko. Nilikuwa nalaaaaaaa hukoooo

Nilikuwa nataka ujingaaa[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom