nipo hapa nitaendelea kuulinda ila ukisikia jwtz wanaajili nitakuachia jukwaaa.Wale walinda uzi tujiandae kwa ajili ya kuwakaribisha wazalendo wajao.
Ha ha haaaa mi nitaendelea kusubiri intake ijayo.nipo hapa nitaendelea kuulinda ila ukisikia jwtz wanaajili nitakuachia jukwaaa.
weka namb cc tunagrup la mafinga mda sana mkuuwa jkt mafinga tujuane kama vipi
Aaaaaah 842 Kikosi changu842 kj mlale
Njooeni tukakodi bus la super feo
OPERATION JECHA!Operation ya mwaka huu inaitwaje
Aibu yao hawawezi kujitokeza tena humu mkuuWale wajinga waliokuwa wanatukana mara ohh mwakani Cjui wakuwapi
weka namb cc tunagrup la mafinga mda sana mkuu
Unakomaa kumkatisha mtu Tamaa hata humjui, kama uchawi kaanzie kwenu kuwanga ndo uje kwetu .
Tutasepa December Moja Mapemaaaaa
Wazalendo Wenzangu kila la Kheri , Tutakie kila lililo la Kheri.
Tukutane katika Ujenzi wa Taifa.
Wale ni wa Mujibu, Miezi mitatu watasepa watatuachia Kijiji na Good Enough Kambi Mpya zinafufuliwa so All Good Mzee.Ila mjue na 4m 6 waliokosa vyuo nao wanaenda. Jipangeni kugombania namba huko.