Ina nnAngalieni website yao sasa,,, res ipsa loquitor
Kuna haja sasa tukitoka kwa watumishi wa umma tuelekee kwa watu kama hawa kukagua vyetu vyao kulinganisha na vichwa vyao.....Ningekua Failure si ningekua nasubiri kwenda JKT hivi Olevel na Advance Nina Division one chuo ni upper second niende JKT? Hapana.
Wameambiwa na nani na huko kwenu ni wapi...... Mbona una mchecheto hivyo.... Tulia utoe maelezo vyema...Eti ni kweli! huku kwetu vijana wameambiwa wafanye mambo mengine hady hapo mwakani na usaili utaanza upya.
Kama mafunzo hayapo watatangaza kwenye website yao wewe na kama yatakuwa mwakani kipaumbele ni wali waliopita usaili mwaka huuwameambiwa na washauri wa mgambo, simiyu mkoa, kuna rafk yang yy alienda ingilia huko ndo karudi jana.
Chalii usichukulie wote wanaoenda Jeshi ni failures, nikikupa CV yangu na wapi nafanya kazi utashangaa.... Jeshi nalipenda since day one na Hapa nasubiri tu mzigo uteme niandike 24hours resignation... So keep it in your mind, sio wote ni failures but wengine tunalipenda Jeshi letu.
Kweli Kaka, sina Muda wa Kupigizana Kelele na Mpuuzi Kama yule niliekutana nae Mtandaoni ambae hajui ABC za Maisha Yangu... So namuona kama Fala Flani hivi anaeshobokea Watoto wa Kiume.Daaa usimlaum mana hajui aliongealo
Wewe itakuwa unalipenda jeshi na huna sifa za kwenda huko kutwa macho kodo kuangalia Uzi ambao haukuhusu msomi uchwara wew unafikiri izo GPA za upper second class hatunazo *****Kweli Kaka, sina Muda wa Kupigizana Kelele na Mpuuzi Kama yule niliekutana nae Mtandaoni ambae hajui ABC za Maisha Yangu... So namuona kama Fala Flani hivi anaeshobokea Watoto wa Kiume.
Sijakataa wewe kutokuwa na io Upper Second kwa sababu bahati mbaya sana watu hatutafuti sifa hizo unazozileta humu......Grow Up mzee achana na Sifa za Kipuuzi zisizokuwa na Tija Chalii. Hahaaa na inafurahisha unaponiita msomi Uchwara ina sound poa piaWewe itakuwa unalipenda jeshi na huna sifa za kwenda huko kutwa macho kodo kuangalia Uzi ambao haukuhusu msomi uchwara wew unafikiri izo GPA za upper second class hatunazo *****
Mkuu ebu muwe mnajiongeza na ronja zingine bhana..... Mikoa yote 30 ya Tz watoe taarifa mkoa mmoja tu.....wameambiwa na washauri wa mgambo, simiyu mkoa, kuna rafk yang yy alienda ingilia huko ndo karudi jana.
Mbona umekuwa mdogo kama priton wew ndio ulitaka sifa kwa kutuambia ufaulu wako humu jitazame upya umeingia choo cha kike.Sijakataa wewe kutokuwa na io Upper Second kwa sababu bahati mbaya sana watu hatutafuti sifa hizo unazozileta humu......Grow Up mzee achana na Sifa za Kipuuzi zisizokuwa na Tija Chalii. Hahaaa na inafurahisha unaponiita msomi Uchwara ina sound poa pia
Poa Mkubwa.Mbona umekuwa mdogo kama priton wew ndio ulitaka sifa kwa kutuambia ufaulu wako humu jitazame upya umeingia choo cha kike.
Usiwaze.Poa Mkubwa.