Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Afande: kurutu nyie ni vichaa, waziii? (si ndio)

Kuruti: wazi afandeee! (ndio afande)

Sasa wewe kataa uone manjobeko ya kamanda mkalakala... Tunawasubiri kwa hamu kunyweni maji mengi mpaka moyo uelee..

Regards:
Elimringi Moshi
0714112062
0767112062
 
Kila kazi inafaida na hasara zake .... Kazi zote za majeshi ni komandi na kutumia nguvu na sio akili na akili inatumiwa 0.000001%
Wewe ni mwongo ivi nikuulize swali utawezaje kumkabili adui vitani bila kutumia akili? pia jua kuna mbinu za kivita lazima akili itumike,na je vipi kuhusu upelelezi wa kijeshi? ni lazima utumie akili usiishi kwa kukariri bro.
 
Mara nyingi huwa upelelezi Wa kijeshi lazima ujuwe mapwork .... Halafu usiseme muongo ... Askari wengi shule hakuna mm si nawaona na nafanya nao kazi kaka
Kijana elimu yako haijakukombo... Unapo dai askari wengi Shule amna unamaana gani? Au na wewe unajua Shule ni la 1-7, form 1-6 na chuo?? Kama ni hivyo basi umepotea na huo ni upeo Mdogo wa kufikiri kama maisha yafunza .... We unadhani wanavyoenda jeshini wanakua wameenda kukaanga bisi?? Hyo ni Shule tosha ndugu yangu. Acha dharau weyeee
 
Utakuta mtu anadegree tena huyu askari ni form4 ameunga cheti,diploma, na baadae dip inamsapoti kujiunga na degree kwakweli hii sio thamani ya degree
Kijana kama hujui kitu uliza kabla ujaropoka .... So wanaoanzia chet hadi dig ni mburula??? Sina mashaka na elim yako bali ninamashaka na upeo wako.... Hivi unavyoandika hayo upo pekeyako au mpo 4???
 
Utakuta mtu anadegree tena huyu askari ni form4 ameunga cheti,diploma, na baadae dip inamsapoti kujiunga na degree kwakweli hii sio thamani ya degree
Acha kukariri wewe saivi watu wanaenda jeshi na degree zao tayari soma mwanzo wa huu Uzi sifa ni hadi degree holder wanaruhusiwa kuingia na wapo wengi tuu jeshini nakushauri kama hujui kitu bora uache.
No research no right to speak
 
Back
Top Bottom