Field Marshal
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 414
- 280
Wastaafu WA jeshi hadi Leo hawapewa mpunga Wao...dah sijui...ila nafurahi kuona uwepo wako Afande Moto wa maji.
critical thinker asante mkuu.Ningumu sana kuamini coz siasa zimekua nyingi..Kama kweli pesa ilisha tumwa ni nini kinacho wa zuia vijana kwenda jakata? Ukweli hujitenga dhidi ya uongo..
slaa kubwa ya jeshi ni uvumilivu so wasiwe na mashaka bdo kdogo ngoja uhakiki umalizike na tukisha lipia zile ndege mbili zilizo baki mambo yatakua mazuri. SASISITIZA UVUMILIVU SAWA MAKAMANDA ROGER DATduh! Afande magu hebu waone vijana walivyo na morali wa kulitumikia jeshi usiwakalie kimya
Pamoja afande ,KUMBUKA SUALA LA ULINZI NA USALAMA WA NCHI liko makini ,hawajasahauWastaafu WA jeshi hadi Leo hawapewa mpunga Wao...dah sijui...ila nafurahi kuona uwepo wako Afande Moto wa maji.
Jiulize kwanza pesa zilizonunua ndege za abiria zilitoka kwenye bajeti gani? Pesa za ujenzi wa uwanja wa ndege chato(Chato Airport) zilitengwa kutoka kwenye bajeti ipi?Kila kitu na wakat wake,rais jpm hajamaliza mambo yake ya uhakiki,hope baraza wakimaliza kuhakiki mambo ya ajira Mpya ndo yanafuata! Serkali ina hela na kila idala ina bajet yake hzo hela haztok mfukon mwa mtu Bali ni bajet, jaman msikatze tamaa watu kwa kudhan bila kuwa na details! Mambo yamechelewa tu BT kila kitu ktakuwa safi si muda!
OVER.Jiulize kwanza pesa zilizonunua ndege za abiria zilitoka kwenye bajeti gani? Pesa za ujenzi wa uwanja wa ndege chato(Chato Airport) zilitengwa kutoka kwenye bajeti ipi?
Kafanye hayo mambo mengine. Kwani lazima ufanye na sisi.kwa mtazamo wangu...ikiwa mwezi huu ndo kwanza wametuwekea tangazo la kujiepusha na matapeli wakati tulikuwa tukisubiri tangazo la safari basi tusipeane moyo huu ni mchakato wa mda mrefu sana hii inshu ni mpaka mwakani tu...Tufanye mambo mengine
Kujiongeza tumejiongeza ila mioyo ya watu haitaki kukubali uhalisia.JAMAN EBU TUJIONGEZE KWA KUZINGATIA HAYA; AJIRA MPYA BADO HAZIJATOKA NA NI MWAKA SASA UNAELEKEA KUKATA, WANAFUNZI WA VYUO NAO MIKOPO NDO HIYO INAZINGUA, WALIMU WANADAI MADAI YAO, DAWA NAZO MAHOSPITALIN ZINAZINGUA N.K, SO THE PROBLEM IS MONEY.
Kama vile sasa hivi ilivyongumu kuamini kuwa ngoma mpaka mwakani, itaweza kuwa ngumu pia kuamini mchakato utaanza upya.Ndio hivyo mkuu ila mchakato kuanza upya sidhani itakuwa ngumu
Hiyo ndo silaha pekee ambayo vijana wanayo.Sisi hapa tulipo kama tupo kambini tunasubiri lini kozi inaanza..mana mkataba tayari na wao wanajua kama umri unaenda ila kinachotulinda ni document..
Ahahahahahahahahahaha haya sasa matusi.Makamanda tulieni very soon mtaenda......mwakan mwez 6 ....
Aha ha ha ha ha ha ha ha ninyi vijana hampo serious, yaani mmenichekesha vibaya saaaana.haito fika huko ni mwenzi wa tano mwanzoni au katikati.
Sawasawa kaka, ngoja nkanunue ndizi na pilipili ya kulia pilau.Web site yao Haifungiki nw naona wanapiga pilau muda si mref kitanuka kuwen wapole
MKUU KWELI UMENENA MAANA NAONA TUNAJIFARIJI KAMA MFUGAJI ANAYEAMINI IPO SIKU NG'OMBE WAKE ANAWEZA AKAKAMULIWA MPAKA AKAJAZA PIPA LA MAZIWA WAKATI UWEZO HATA WA KUJAZA NDOO MOJA TU WALA HANA. SO TUJIONGEZE NA HIZI MIND SET ZETUmkuu hali halisi tunaiyona ww fikiria wanafunzi hady mda huu hawana walimu wakutosha mashuleni, zahanati hazina wauguzi wakutosha, elimu ya juu mikopo ndo hvo tena, mishahara haija banda SASA WW JAKATA UNAENDA KULA BURE UTAKUMBUKWA KWELI tuacheni bhana utani tujiongeza vijana wenzangu kwa mwaka huu no hakuna haja ya kutiana moyo (fikra sahihi uja kwa hali halisi serikali haina pesa)
Mkuu, hata mimi kuna mtu hapo alituambia ni mwezi huu ila mpaka sasa kimya. Na huyu alituambia tangu mwezi wa 8 mwanzoni.Hhahahaha vijana msikose imani soon mtapata taarifa nyingine itakayo husu utaratibu wa safari...kama mlivitumia vitu kwenye tranka anzeni kununua upya safari inakaribia...hayo sio maneno yangu ni maneno ya rafiki yangu aliye makao....so kiukweli tuwe prepared...!
Ahahahahaha tulia Mkuu.Inafunguka
Ttzo unatumia huawei y300
Jamaa wamenichekesha vibaya saana.Ha ha ha ha...mkuu kituko Sanaa wewee kwahyo mwez 6 itakua mwez wa 5 katikati hiviii...ha ha ha...acha kukatisha watu tamaa aseee.
Ningekuwa vizuri kiuchumi ningeomba namba yako ya M-PESA nikutumie chochote kile Mkuu.mkuu hali halisi tunaiyona ww fikiria wanafunzi hady mda huu hawana walimu wakutosha mashuleni, zahanati hazina wauguzi wakutosha, elimu ya juu mikopo ndo hvo tena, mishahara haija banda SASA WW JAKATA UNAENDA KULA BURE UTAKUMBUKWA KWELI tuacheni bhana utani tujiongeza vijana wenzangu kwa mwaka huu no hakuna haja ya kutiana moyo (fikra sahihi uja kwa hali halisi serikali haina pesa)
Yaani wewe kila sababu ya kuwa afande, afande hapaswi kuwa kama mtumwa tu bila kufikiria. Wewe umewaza vyema.Jiulize kwanza pesa zilizonunua ndege za abiria zilitoka kwenye bajeti gani? Pesa za ujenzi wa uwanja wa ndege chato(Chato Airport) zilitengwa kutoka kwenye bajeti ipi?
Inamaana hujui shirika la ndege liko katika wizara gani...usiropokeJiulize kwanza pesa zilizonunua ndege za abiria zilitoka kwenye bajeti gani? Pesa za ujenzi wa uwanja wa ndege chato(Chato Airport) zilitengwa kutoka kwenye bajeti ipi?