Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mkuu, hata mimi kuna mtu hapo alituama ni mwezi huu ila mpaka sasa kimya. Na huyu alituambia tangu mwezi wa 8 mwanzoni.

Ila kuna mzee mmoja mstaafu, naomba nisimtaje jina wala cheo maana baadhi wanamjuajua, yeye alisemaga ngoma mpaka mwakani. Alistaafu kwa nafasi ya juu saaana, sio kanali wala brigedia.
Mkuu hakuna afisa atakae kuambia ukweli..istoshe yupo nje ya system..jiongeze..kuhusu zoez kurudiwa haiwezekani..hilI zoezi la uandikishaji..ni gharama pia haifanywi bure pale kuna posho kwa maafisa na
 
Kijana usikae kubisha bila hoja,kumbuka vijana waliomaliza udaktar walitakiwa waanze entain yaan mafunzo ya vitendo baada ya kumaliza miaka yao 5,ilikua waanze trh 3 mwez huu wa 10 ila serikali imesema watulie watatangaza trh nyingine hiyo na mpk sasa haijatangazwa na hiyo ni sekta ya afya ambayo kimsing ni muhimu sana so ukiangalia kwa umakin unagundua issue ni pesa mkuu halafu kwa sasa serikali haina uhitaj wa haraka wa askar ushaidi upo kwa maana kama wangekua wanahtaji wangewachukua wale wa kambi ya malezi ambao wengine mikataba yao inaelekea ukingoni,natambua ukweli ni mchungu ila aina budi kuumeza,ukitumia akili ya kawaida ya kukosa dawa mahospitalin,mikopo finyu kwa wanavyuo,kuairishwa kwa trh ya kuanza entern kwa madaktr,kucheleweshwa kwa ajira mpya,kusitishwa kwa nyongeza za mishahara bila chuki unaja gundua kwamba issue ya jakata bado sana najua ni ukweli mchungu ila upokewe tu
 
Entern ndio nini...
 
Naona unaongea kimehemko, wapi nimesema huyu mstaafu kasema kuwa zoezi litaanza upya?
 
Kijana usikae kubisha bila hoja,kumbuka vijana waliomaliza udaktar walitakiwa waanze entain yaan mafunzo ya vitendo baada ya kumaliza miaka yao 5,ilikua waanze trh 3 mwez huu wa 10 ila serikali imesema watulie watatangaza trh nyingine hiyo na mpk sasa haijatangazwa na hiyo ni sekta ya afya ambayo kimsing ni muhimu sana so ukiangalia kwa umakin unagundua issue ni pesa mkuu halafu kwa sasa serikali haina uhitaj wa haraka wa askar ushaidi upo kwa maana kama wangekua wanahtaji wangewachukua wale wa kambi ya malezi ambao wengine mikataba yao inaelekea ukingoni,natambua ukweli ni mchungu ila aina budi kuumeza,ukitumia akili ya kawaida ya kukosa dawa mahospitalin,mikopo finyu kwa wanavyuo,kuairishwa kwa trh ya kuanza entern kwa madaktr,kucheleweshwa kwa ajira mpya,kusitishwa kwa nyongeza za mishahara bila chuki unaja gundua kwamba issue ya jakata bado sana najua ni ukweli mchungu ila upokewe tu
Halafu jamaa sijui anajiona yeye peke yake ndiye atakayeenda huko JKT, mbona wengine form zipo mavyumbani ila tunakubali uhalisia uliopo.

Sio rahisi kwenda watu kule ikiwa intake iliyopita bado ipo makambini, tena wapo wengi tu. Na hao nao hawajaanza koz vilevile kutokana na ishu ya pesa.
 
Utafika mbali sana kijana,keep it up
 
Acheni kusikiliza porojo za wachambuzi wa vijiweni wazalendo. Taasisi muhimu katika nchi yoyote ile ya kwanza Financial Institutions na ya pili ni security hasa jeshi. Hizi zingine porojo tu za vjana.

Kumbukeni huu ni utawala mpya uko katika kipindi cha kutengeneza misingi yake kwanza. Tulieni kidogo wazalendo very soon mambo yanajipa.
 
Halafu jamaa sijui anajiona yeye peke yake ndiye atakayeenda huko JKT, mbona wengine form zipo mavyumbani ila tunakubali uhalisia uliopo.

Sio rahisi kwenda watu kule ikiwa intake iliyopita bado ipo makambini, tena wapo wengi tu. Na hao nao hawajaanza koz vilevile kutokana na ishu ya pesa.
Walipotaka kuwapeleka mwanzoni mpaka ikaaihirishwa huko kambini kulikuwa na siafu au watu? Muda mwingine muwe na speed governor kwenye midomo yenu ...tulieni wakati ukifika mtaitwaa
 
Hili jibu linanihusu mimi au umekosea sehemu ya kuquote?
 
Walipotaka kuwapeleka mwanzoni mpaka ikaaihirishwa huko kambini kulikuwa na siafu au watu? Muda mwingine muwe na speed governor kwenye midomo yenu ...tulieni wakati ukifika mtaitwaa
Aisekweli hapo umewaza mbali mnooooo. Tunasema akili kubwa,
Na wengine walikuwa tayari washafika vikosini.
 
Walipotaka kuwapeleka mwanzoni mpaka ikaaihirishwa huko kambini kulikuwa na siafu au watu? Muda mwingine muwe na speed governor kwenye midomo yenu ...tulieni wakati ukifika mtaitwaa

Mkuu tatizo la vijana wanaongozwa na mihemko na kila mtu anajifanya anambuyu huko jeshini, mlishaambiwa mtulie, taarifa rasmi itatolewa kupitia vyombo husika kwasasa jishughulisheni na kazi za hapa na pale kuajili yakujipatia kipato.
 
Ndio tatizo la watu wanaosema mwakani ukiwapa fact wanasema ooh povu ooh mihemko..ok mkuu tusubiri mwakani wazii
 
Nibora tu mtu ukapige lamination ile form maana mambo bdo sana tena sana na kama ikifika mwenzi wa pili ikiwa bado sasa hapo fungia tu mandazi au unaweza ukakiambatanisha kwenye cheti chako kama cv ya uvumilivu.
 
Mkuu, hata mimi kuna mtu hapo alituambia ni mwezi huu ila mpaka sasa kimya. Na huyu alituambia tangu mwezi wa 8 mwanzoni.

Ila kuna mzee mmoja mstaafu, naomba nisimtaje jina wala cheo maana baadhi wanamjuajua, yeye alisemaga ngoma mpaka mwakani. Alistaafu kwa nafasi ya juu saaana, sio kanali wala brigedia.
Asante mkuu wazo lako na nimelichanganya na lang na nimepata gbu.
 
Nibora tu mtu ukapige lamination ile form maana mambo bdo sana tena sana na kama ikifika mwenzi wa pili ikiwa bado sasa hapo fungia tu mandazi au unaweza ukakiambatanisha kwenye cheti chako kama cv ya uvumilivu.
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
Wale waliosema week hii bado kesho week itimie labda chochote chaweza tokea...na yule wa tar 25 kozi ya wale wa orljoro inaanza sio mbali Ni j4 tuh.
kweli kaka unafatilia. sasa kunakiwanja kinauzwa Njiro 10 kwa 15 ebu fuatilia na hili tupate hela.
 
Back
Top Bottom