Kama jamaa yako kweli ataenda, ila kama ni wewe huendi.Kuna jamaa yangu ana 30 years na degree ivi anaweza kwenda jwtz baada ya kumaliza jkt.
sio mimi mkuu jeusiKama jamaa yako kweli ataenda, ila kama ni wewe huendi.
Maana jeshi halitaki uongo
mipaka inalindwa na naniHata mimi napenda jeshi kwanza hawana kazi zaidi ya kukaa tu vikosini na kusubiri vita itakapo kuja tokea
Kama jamaa yako kweli ataenda, ila kama ni wewe huendi.
Maana jeshi halitaki uongo
unaruhusiwa jkt..kwa maana ulienda kwa mujibu wa sheria na co kujitoleaNimetumia akili ndo maana nimeshauliza kwa wahusika na nimeambiwa waliopitia jkt kama mujibu wa sheria hawahesabiki na hivyo kipengele no. 12 hakiwazuii kujiunga...kwa akili zako unadhani mwanachuo yeyote aliyepitia jkt hawezi kujiunga kwa sasa, ni wazi sio tu kwamba hutumii akili zako vizuri bali hata hizo akili zenyewe huna, unakurupuka tu!
unatakiwa uwe na vyeti vyote ukikosa hata kimoja unarudishwaMimi nimebeba cheti na trancript na hakuna aliyenisumbua...ila kwenye tangazo transcript ipo so nashindwa kuelewa nini tatizo hapo..ushauri tu tafuta wilaya ingine....mimk nimeingia kinondoni...cjajua alichotazama wakati wa ukaguzi ni cheti ama transcript
Naona wenye vi degree wanasumbuliwa tu pale
Kiaje Mkuu, naomba unipe maelezo kidogo.Naona wenye vi degree wanasumbuliwa tu pale
Wanawazingua kivipi Mkuu!?Ni kweli mkuu, Mimi niliusoma mchezo mapema Sana nimepeleka cheti cha form 6 wakapokea freshi Sana tena wakashangaa kwasababu Mimi ndo mtu wa kwanza niliyeenda na cheti cha six, hili gamba langu la degree nitalitoa mbele ya safari maana umri unaruhusu kutumia Chet cha 6.
Tunapigwq kalenda wengine tuna 24 miaka cheti cha six hakina vigezo...jtatu tumeambiwa twende sijajua ndio watakagua ama?Ni kweli mkuu, Mimi niliusoma mchezo mapema Sana nimepeleka cheti cha form 6 wakapokea freshi Sana tena wakashangaa kwasababu Mimi ndo mtu wa kwanza niliyeenda na cheti cha six, hili gamba langu la degree nitalitoa mbele ya safari maana umri unaruhusu kutumia Chet cha 6.
Nadhani vyeti vyao bado havijatoka wasubir mwakaniSasa hawa wa 2015 inakuwaje mbona kama wamewasahau
Watu sijui hawaelewi au wanataka kujaza sever tuAngalia kigezo cha umri.
Wanawazingua kivipi Mkuu!?
Hamna figisu banamkuu nahisi zitakua ni figisufigisu zilizojaa roho mbaya na chuki zakimaendeleo ndani yake hakuna kingine......ila kikubwa hakuna ku give up mkuu.
Hapo mkuu ndiyo tatizo linapokuja yani inakulazimu uende na gamba la chuo sababu ya miakaKama ana Miaka 24? na wengi tunamaliza Degree kuanzia miaka hiyo!