Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
Don't rush bro tuliza akili maliza chuo au kama una haraka napo jeshin unwweza kuandka barua ya kupostipone mwaka ukamalzia mwakan chuo .....mwsho wa kufanya maombi kwa tarehe 20 ina depend na wilaya uliopo
mkuu, umempa Ushauri mzuri sana mimi naona hata kama angekua na hiyo provision results s sidhan kama itakua applicable