Wap Hyo Ilala au ?Sina uhakika ijumaa tutaenda kufanya nini ila baada ya maombi kuwekwa kwa file unaambiwa urudi ijumaa...tutajua ijumaa nini kitaendelea
KinondoniWap Hyo Ilala au ?
Okay.Kinondoni
Tarehe 20 deadline ilalaMkuu ilala itakuwa mwisho Lin nimetaitiwa kweli naomba nijuzwe na dedlin itawa lin
Kama ulimaliza nnKama ulimaliza 2007 kupanda lkn una certificate ya taharuma nyingine VIP uwezi kutuma au vigezo aviruhusu mpaka uwe na diploma au degree
Nimetumia akili ndo maana nimeshauliza kwa wahusika na nimeambiwa waliopitia jkt kama mujibu wa sheria hawahesabiki na hivyo kipengele no. 12 hakiwazuii kujiunga...kwa akili zako unadhani mwanachuo yeyote aliyepitia jkt hawezi kujiunga kwa sasa, ni wazi sio tu kwamba hutumii akili zako vizuri bali hata hizo akili zenyewe huna, unakurupuka tu!tumia akili yako vizuri mwanachuo. sifa mojawapo ni asiwe amepitia jkt..
sifa no 12. Asiwe amepitia JKT Operesheni za nyuma.
kaka maombi ya Ilala tunapeleka kwenye bahasha au file? plz nisaidieNlchokishuhudia jana kila mtu akikusanya anaambiwwa tarehe 21 kwa sisi wa ilala aende na vyeti original vyote nadhan no shortlist bro