Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Nimetumia akili ndo maana nimeshauliza kwa wahusika na nimeambiwa waliopitia jkt kama mujibu wa sheria hawahesabiki na hivyo kipengele no. 12 hakiwazuii kujiunga...kwa akili zako unadhani mwanachuo yeyote aliyepitia jkt hawezi kujiunga kwa sasa, ni wazi sio tu kwamba hutumii akili zako vizuri bali hata hizo akili zenyewe huna, unakurupuka tu!
Sheria inawaruhusu waliopitia mujibu kujiunga na,mafunzo ya kujitolea
 
Habarin wakuu leo nimepeleka barua na vyeti vyangu vyote wilaya ya Kilosa morogoro cha ajabu nimemkuta meja kanikatalia maombi yangu sababu ya cheti cha kazaliwa kina muhuri wa morogoro mjini akanambia kua mie sio Mkazi wa Kilosa wakati nimezaliwa Kilosa tatizo muhuri ni wa morogoro mjini ambapo nilienda kufanya utaratibu wa kuchukua cheti mana ni rahisi tofaut na wilayan Kilosa wakuu nifanyeje
Huyo meja ni wivu unamsumbua, ana akili za kitoto?
 
kigezo cha umri wasogeze kidogo mpaka 31 na wengine tufike uko, uzalendo wetu unapotea bure, ndo matatizo ya kuchelewa kusoma, hadi tunakosa sifa
 
Habarin wakuu leo nimepeleka barua na vyeti vyangu vyote wilaya ya Kilosa morogoro cha ajabu nimemkuta meja kanikatalia maombi yangu sababu ya cheti cha kazaliwa kina muhuri wa morogoro mjini akanambia kua mie sio Mkazi wa Kilosa wakati nimezaliwa Kilosa tatizo muhuri ni wa morogoro mjini ambapo nilienda kufanya utaratibu wa kuchukua cheti mana ni rahisi tofaut na wilayan Kilosa wakuu nifanyeje
Kakuonea tu, unafanya huo mchakato yalipo makazi yako.
Wanayo namba ya watu wao tayari hivyo mkiingia wengi wenye vigezo mtaharibu michongo yao. NCHI HII BWANA.
 
Mkuu samahani wamekataa kunipokelea maombi sababu ya transcript na wao wanataka cheti halisi hii inshu naweza solve VIP? Ushauri mkuu tafadhali,,,
Kwanini uende na vyeti vya degree mkuu!? Huo ni wivu unawasumbua, wanakuwa na watu tayari hao.
 
Mkuu samahani wamekataa kunipokelea maombi sababu ya transcript na wao wanataka cheti halisi hii inshu naweza solve VIP? Ushauri mkuu tafadhali,,,
Mimi nimebeba cheti na trancript na hakuna aliyenisumbua...ila kwenye tangazo transcript ipo so nashindwa kuelewa nini tatizo hapo..ushauri tu tafuta wilaya ingine....mimk nimeingia kinondoni...cjajua alichotazama wakati wa ukaguzi ni cheti ama transcript
 
Wakuu kabla ya Kupokea barua wanakagua Vyeti? unaenda na Original au Copy?
 
Back
Top Bottom