Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

oky sawa ila uliandika kua ushafanya usaili km ckukuelewa kinyume
ulikua unamaanisha wamekuhoji
Samahani kwa kutoelewa..kwasababu mwanzo nlijua kukabidhi vyeti ndio usaili wenyewe..ni bado asee baada ya hapo ndio zoeZi la usaili litaanza
 
Nilipeleka maombi ya kujiunga tu na vivuli vya vyeti..hapo kesho ndio watakagua vyeti og...walitangulia madogo wa o level hao ndio wanajua vizuri utaratibu ulivyokua
Kuna ushindani mkubwa kwa degree holderz na Diploma?
 
Ila kwa degree holder kama doctors n engineer si dhani kama watakuwa wanazingulia katika huu mchakato
 
Huu usaili ni kwa watu wenye elimu gani? Na Interview itaweza kuwa lini?
 
Kwa nini wanatufanyia figisu wasomi jamani? Tumesoma tumesota wawafanyie heshima
 
Back
Top Bottom