Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

ACHENI KUTAPELI WATU. NAFASI HAZIJATOKA. MPAKA BURGET 2016/2017.MUNAVUMISHA MAMBO ILIMUWAIBIE VIJANA WANAOZITAFUTA. NAFASI HIZO. TAJENI NI GAZETI GANI NA LA TARE. GANI.
Acha ubishi wa kinafki ndugu yangu! Tangazo lipo kwenye website ya JKT fuata Link hii TANGAZO MAALUM VIJANA WA KUJITOLEA 2016 Siku nyingine usitokwe povu kama hauna maarifa!
 
me jana nilikuwa Msata kwenye kuhitimisha vijana waliokuwa wanachukua mafunzo pale na walisema nafasi zinaanza kutoka kwa vijana wanaotaka kujiunga na mafunzo
Waliohitimu walikuwa wangapi Mkuu!?
 
zimetoka wakuu.
tangazo hadi kwa tv nimeliona.
najiuliza uliza hapa.
 
Saaafi saaana.wafundishwe gwaride tu kwa kutumia bunduki za mbao za kuchonga TOY na kilimo...ufugaji...uvuvi..na ufundi VETA....wasiundishwe mambo ya vita KABISA.
 
Hakuna kitu kama hicho nafasi za jeshi hazitangazwi kwa mitandao ya kijamii.
 
Nani kakudanganya mafunzo ya jkt. Ysnafanyika msata. Halafu unadai umeelezwa na wanaomaliza mafunzo Kuwa nafasi zimeto, hivi unadhani mafunzo ya jkt sawa na mafunzo ya Veta. Kujua wengine wataingia lini. Kama hujui taratibu uliza uambiwe ACHENI uongo nafasi za jkt bado hazijatngazwa. Mkome.
 
Hivi jamani naomba kuuliza....kuna faida yoyote wanaipata vijana baada ya kumaliza mfunzo ya jkt? Kwa anaejua.
 
Sio amekutusi, amekuonesha kuwa ni mjinga, usipende kutuhumu umedanganywa wakati hauna uhakika.
Pole sana!
Wewe ndio umepanic......sehemu gani nimetuhumu amenidanganya? acha uboya wewe ........ nilicoment hivi jamani mbona mimi nimefungua website ya JKT sioni tangazo? au wameshaliondoa? jaribuni kuingia kisha leteni mrejesho.
 
Hakuna kitu kama hicho nafasi za jeshi hazitangazwi kwa mitandao ya kijamii.
Aisew..duniani kuna watu wabishi...ebu ingia kwenye website ya JKT...then urudi hapa
Nani kakudanganya mafunzo ya jkt. Ysnafanyika msata. Halafu unadai umeelezwa na wanaomaliza mafunzo Kuwa nafasi zimeto, hivi unadhani mafunzo ya jkt sawa na mafunzo ya Veta. Kujua wengine wataingia lini. Kama hujui taratibu uliza uambiwe ACHENI uongo nafasi za jkt bado hazijatngazwa. Mkome.
Mkuu...kwani we huijui website ya JKT au unatafuta kujaza server hapa...
Wewe ndio umepanic......sehemu gani nimetuhumu amenidanganya? acha uboya wewe ........ nilicoment hivi jamani mbona mimi nimefungua website ya JKT sioni tangazo? au wameshaliondoa? jaribuni kuingia kisha leteni mrejesho.
Haina haja ya marumbano...tangazo lipo kwenye website ya JKT
 
Jamani Mwanangu wa Kiume anataka kwenda huko ila yupo Dar es Salaam Vipi Ushindani hapa au aende akaingilie Mikoni.
 
Aisew..duniani kuna watu wabishi...ebu ingia kwenye website ya JKT...then urudi hapa

Mkuu...kwani we huijui website ya JKT au unatafuta kujaza server hapa...

Haina haja ya marumbano...tangazo lipo kwenye website ya JKT
Yaani Mkuu, JF kuna vilaza vilivyopitiliza, mambo madogo mtu anabisha mpaka aibu.
 
Back
Top Bottom