Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,722
- 2,401
Poa poa, tunaomba mkitoka tujulishane kipi kinaendelea
Hujazidi.Wakuu eti kama umezaliwa 10/07/1993 kwa form four unakuwa umezidi umri au?
Poa ila ngoja nisikilizie kesho kinondoni wataniambiaje maana na mm Nipo 1993Hujazidi.
Birthday ni tarehe 10.7.2016 hivyo kwa sasa una miaka 22.Poa ila ngoja nisikilizie kesho kinondoni wataniambiaje maana na mm Nipo 1993
Wakuu Majina ya kwenye Vyeti
mfano kwenye vyeti vya shule Limeandikwa
Allen Senior Allen
halafu cheti cha Kuzaliwa Kimeandikwa
Name: Allen
Name of Father and Sir name : Senior Allen Daniel
Je hapo kinakua kina Makosa?
Mkuu iko sawa hata mi yako hvo hvoWakuu Majina ya kwenye Vyeti
mfano kwenye vyeti vya shule Limeandikwa
Allen Senior Allen
halafu cheti cha Kuzaliwa Kimeandikwa
Name: Allen
Name of Father and Sir name : Senior Allen Daniel
Je hapo kinakua kina Makosa?
Nilikuwa serikal za Mitaa Jana vijana were engine Walikuwa hapo ajili ya jktIngia website ya jkt kuna taarifa za kukanusha
Mtoto wa kiume haogopi shidaDuh dogo ana IV ya 33. Sipati picha jinsi atakavyolia. Very sad
Hii ndio njia bora kupata vijana watiifu kwataifa lao ila haki itendekeNafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo![]()
![]()
Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam hiyo hapo juu
===================
TANGAZO
![]()
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, anawatangazia vijana wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2016.
Barua zilizoainisha sifa za kijana kujiunga na mafunzo ya JKT zimetumwa kwa Waheshimiwa Wakuu wa mikoa. Mchakato wa zoezi la kuwapata vijana wenye sifa unaanza Aprili 2016 hadi tarehe 20 Mei 2016.
Sifa za mwombaji ni kama zifuatazo:-
1. Awe raia halisi wa Tanzania.
2. Umri. Kwa vijana wenye elimu ya Darasa la saba hadi kidato cha sita ni miaka 18 hadi 23.Vijana wenye elimu ya Stashahada umri ni miaka 18 hadi 26 na Vijana wenye elimu ya Shahada na kuendelea umri ni miaka 18 hadi 30.
3. Awe na afya njema, akili timamu.
4. Asiwe na alama yeyote ya michoro mwilini (Tattoo).
5. Mwenye tabia nzuri, hajapatikana na hatia Mahakamani na hajawahi kufungwa.
6. Kwa vijana waliomaliza elimu ya Sekondari kidato cha nne wawe waliomaliza kuanzia mwaka 2010, 2011, 2012, 2013 na 2014 wenye ufaulu ufuatao:-
(a) Waliomaliza 2010 hadi 2012 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 32.
(b) Waliomaliza 2013 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 38.
(c) Waliomaliza 2014 wawe wamefaulu na wawe na GPA isiyopungua 0.6.
7. Awe na elimu ya msingi aliyehitimu darasa la saba.
8. Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate).
9. Awe na cheti halisi cha kumaliza shule (School Leaving Certificate)
10. Awe na cheti halisi cha matokeo (Original Academic Certificate/Transcript).
11. Asiwe ametumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au KMKM wala kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.
12. Asiwe amepitia JKT Operesheni za nyuma.
13. Asiwe amejihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya, bangi na yanayofanana na hayo..
Waombaji wenye sifa wapeleke maombi yao kwa Waheshimiwa wakuu wa mikoa. Makao Makuu ya JKT hayatapokea na hayapokei maombi yoyote, kwa vijana watakaoomba nafasi hizo wazingatie maelekezo yatakayotolewa kuepuka usumbufu.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya JKT
Tarehe 05 Aprili 2016
Chanzo: TANGAZO MAALUM VIJANA WA KUJITOLEA 2016
Ana fani/taaluma gani? Miaka je?Duh dogo ana IV ya 33. Sipati picha jinsi atakavyolia. Very sad
Kwanza ilala watu Ni wengi SanaSijaona wadau wa Temeke humu.. humu kino na ilala au Temeke pagumu
Nenda na documents zako zkiwa kwenye bahasha then utanunua file ambalo kila rangi linaendana na level ya elimu yako then utaweka kwenye files utakusanyakaka maombi ya Ilala tunapeleka kwenye bahasha au file? plz nisaidie
Wamekuonea mimi nmeomba kutumia transcript na wamepokea ila leo ndo nmefata cheti chuo so ntawakabdhi gamba langu kwenye usailiMkuu samahani wamekataa kunipokelea maombi sababu ya transcript na wao wanataka cheti halisi hii inshu naweza solve VIP? Ushauri mkuu tafadhali,,,
Tarehe 20 mwezi wa nne ndo mwisho kutuma maombi ilala ila tarehe 21 ndo usaili wilaya ya ilalaNitarehe 20 ya mwez wa NNE au wa tano nilikuwa ilala cjajua aisee
vivuli vya vyeti vya taaluma na cheti cha kuzaliwa (copy)Wakuu kabla ya Kupokea barua wanakagua Vyeti? unaenda na Original au Copy?