Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,545
- 2,546
Umri hauruhusu Kwa cheti cha form 6!!!!tumia cheti cha form 6 mkuu.
Umri hauruhusu Kwa cheti cha form 6!!!!tumia cheti cha form 6 mkuu.
Umri hauruhusu Kwa cheti cha form 6!!!!
Ndiyo mkuu Mpaka Barua kama kweli imetoka imethibitishwa na maafisa WA mtaa na kata.
Pouwa mdau,,,pole mkuu fuata ushauri wa kujaribu wilaya nyingine.
Ndiyo mkuu.Hiyo barua inabandikwa passport size ?
Ukifanikiwa pote hapo utachagua sehemu mojasamahan...nauliza hivi ni nikiaply sehemu mbili tofauti na nikaitwa zote kwene usahili haitakua na madhara kwangu? mana najua wengi mtanjshauri niende mojawapo lkn system haitaweza kugundua kuwa nimefanya hivyo?
Fanya 2016-1993, ukipata jibu linganisha na tangazoWakuu eti kama umezaliwa 10/07/1993 kwa form four unakuwa umezidi umri au?
We ulikuwa kinondini...?ILALA wamenzngua wanasema eti miaka mingi wakati na napata 23 wao wamasema 24