Yes inatosha sana,maana vijana wengine wametoka mtaani hata uhakika wa kupata hiyo 50,000 kwa mwezi hawakuwa nao,sasa Depo kula na kulala bure,halafu mwisho wa mwezi unapigwa na 50,000 maisha mazuri,kwanza haina hata matumizi mengi maana saa 2 tu usiku anakuwa tayari kitandani amechoka anasubiria tarumbeta la mchakamchaka saa 9 alfajiri,atatumia wapi hiyo Pesa??labda inapobakia miezi miwili ya mwisho kabla ya kumaliza Depo ndio huwa wanaruhusiwa kutoka nje ya Chuo kila Jumapili kuzurula kidogo mpaka saa 10 jioni,hapo ndio huwa wanaweza kwenda nje ya Chuo hata kupata Bia kidogo na kugongana Kuruta wenyewe kwa wenyewe Lodge au kugongwa na Maafande,lakini kugongwa kwa ndani ya Chuo na Maafande huwa inakuwa ni kwa KIFICHO sana