Mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2022

Status
Not open for further replies.
Kama Umehakikishiwa Nafasi Jipange
Kimwili Na Roho

Jeshi Husema Mwili Ni Mali Yao Yaani Wanaufanya Watakavyo
Roho Ndiyo Ya Mungu Huwa Hawahangaiki Nayo Kamwe
Naskia magereza wana moto wa hatare kwamba wanapiga kuliko hata polisi ahahah. Naona pia wanasoma na masheris sheris vipi mafunzo ni miez mingap?
 
Hii issue ya kutokua na Simu na wewe imekukumba au ni mimi tu napigwa za uso? Maana hakuna mawasiliano kabisaaa hii hali inanifanya nishindwe kuwaza maana kamerisk maisha kameacha mambo mengi ya msingi kufukuzia hizo ajira. Nachowaza ni aje ikibuma uko
Mkuu hata mimi simpati kwa simu. Halafu mafunzo nasikia ni miezi 6 ndio wanaingia kwenye ajira rasmi. Sasa hapo mimi sifahamu kama watapunguzwa tena au itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu tufarijiane tu. Mimi mwanamke akishakua mbali na mimi huwa sitaki kujiaminisha hakuna kinachoendelea kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii issue ya Magereza nilimshauri mwenyewe wakati flani akawa kama hataki licha ya kupita usaili ila nikaforce kumshawish maana elimu za siku hizi hazina uhakika kabisaaa.
Vipi mawasiliano unapata?
 
Mkuu hata mimi simpati kwa simu. Halafu mafunzo nasikia ni miezi 6 ndio wanaingia kwenye ajira rasmi. Sasa hapo mimi sifahamu kama watapunguzwa tena au itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu dogo anapaswa aende chuoni mwez huu wa 10 sasa nawaza mafunzo wanaaanza lini asije akarudishwa mtaani mwez wa 11 wakawa amekosa pote.
 
Sasa mimi ndugu yangu nalazmika tu kuweka moyo maana aga upo tu naturally pale sichomoi[emoji28]
Mkuu hiyo ni njia yangu ya kujilinda hasa katika situations kama hizi ukizingatia pia mwanamke ni mzuri sana. Pia mimi nashukuru hata kwenye simu hapatikani maana najua ningekua mtumwa na ningenyanyasika na kumlaumu kwa mambo ambayo pengine hata hahusiki nayo.

Japo mi aliniambia baada ya muda watakua wanapewa simu kuwasiliana na ndugu zao. So kwakua saivi bado mapema tusubiri baada ya mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Tangu kuingia chuoni hadi kufunguliwa course rasmi inaweza kuchukua mwezi mmoja au zaidi.
2. Usahili mwingine upo japo sio rasmi ni kipindi hicho kabla na wakati wa mafunzo ikijumuisha afya, mwenendo/tabia na vinginevyo
3. Mafunzo hayana muda maalumu ila haizidi miezi 24.
4. Ukimaliza mafunzo tayari anaingia kwenye mfumo wa ajira japo maslahi ya ajira yanaweza kuchelewa kidogo.
5. Fursa ya kujiendeleza kielimu ipo na itatolewa kulingana na mahitaji au vipaumbele vya Jeshi
 
Mimi haswa nina hurka ya kupanic ni sawa unavyosema, Hizi pocs tunazipenda tu lakin kila mhuni akiona anataman.
Namwamini sana ndo maana hata nafuatilia naendeleaje vinginevyo ninhefuta na namba siku namsindikiza stend.
 
1. Tangu kuingia chuoni hadi kufunguliwa course rasmi inaweza kuchukua mwezi mmoja au zaidi.
2. Usahili mwingine upo japo sio rasmi ni kipindi hicho kabla na wakati wa mafunzo ikijumuisha afya, mwenendo/tabia na vinginevyo
3. Mafunzo hayana muda maalumu ila haizidi miezi 24.
4. Ukimaliza mafunzo tayari anaingia kwenye mfumo wa ajira japo maslahi ya ajira yanaweza kuchelewa kidogo.
5. Fursa ya kujiendeleza kielimu ipo na itatolewa kulingana na mahitaji au vipaumbele vya Jeshi
Miez 24 mbona mingi sana ndugu yang na nilisikia ni 6 au 9

Uo usailo usio rasmi unamaanisha unaweza kisiwe kigezo cha mtu kurudishwa nyumban?

Hiyo issue ya mwenendo wanaangalia vitu gani haswa?
 
1. Tangu kuingia chuoni hadi kufunguliwa course rasmi inaweza kuchukua mwezi mmoja au zaidi.
2. Usahili mwingine upo japo sio rasmi ni kipindi hicho kabla na wakati wa mafunzo ikijumuisha afya, mwenendo/tabia na vinginevyo
3. Mafunzo hayana muda maalumu ila haizidi miezi 24.
4. Ukimaliza mafunzo tayari anaingia kwenye mfumo wa ajira japo maslahi ya ajira yanaweza kuchelewa kidogo.
5. Fursa ya kujiendeleza kielimu ipo na itatolewa kulingana na mahitaji au vipaumbele vya Jeshi
Huu issue ya kukaa muda mrefu kama mwezi bila uhakika aga inanichanganya sana maana kuna kupotezeana mida hapa.
 
Mkuu hiyo ni njia yangu ya kujilinda hasa katika situations kama hizi ukizingatia pia mwanamke ni mzuri sana. Pia mimi nashukuru hata kwenye simu hapatikani maana najua ningekua mtumwa na ningenyanyasika na kumlaumu kwa mambo ambayo pengine hata hahusiki nayo.

Japo mi aliniambia baada ya muda watakua wanapewa simu kuwasiliana na ndugu zao. So kwakua saivi bado mapema tusubiri baada ya mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia tuwaombee sana maana kwa maelezo huo mwezi tunaosubir mawasiliano na wenyewe wapo kikaangano bado
 
Wakishafika Depo wanaweza wakamaliza Mwezi mzima wanafanya warm up tu na taratibu za kujisajili kabla ya tarehe rasmi ya Ufunguzi wa Mafunzo,kwa hiyo tarehe rasmi ambayo itaanza kuhesabika ni baada ya Mafunzo kufunguliwa rasmi,simu lazima wanyang'anywe ndio maana hawapatikani hewani,pia ukaguzi wa Vyeti hufanyika ili kujiridhisha uhalali wa Vyeti vyao,mwezi uliopita tarehe 19 nilihudhuria kumalizika Mafunzo kwa vijana zaidi ya 500 wa Mafunzo ya TAKUKURU pale CCP,Moshi,wiki mbili kabla ya kumalizika Mafunzo yale,vijana 9 nadhani walikamatwa wakawekwa Mahabusu kwa kukutwa na Vyeti feki,kama uliangalia taarifa ya DG wa TAKUKURU alilieleza hilo mbele ya Mgeni rasmi Naibu Waziri Ndejembi,hivyo hao wa TAKUKURU walikamatwa zikiwa zimebaki Wiki Mbili wamalize Mafunzo yao,hivyo Vyeti vya hao walioenda Depo Magereza Mbeya vitaendelea kukaguliwa mpaka dakika ya mwisho
 
Muda wa Mafunzo huwa ni miezi 6 hiyo ni baada ya Ufunguzi Rasmi wa Mafunzo,lakini kwa Depo ya Polisi waliomaliza Mafunzo mwezi wa Nane mwaka huu wao walikaa Depo miezi Nane, TAKUKURU waliomaliza Depo mwezi uliopita waliingia kwa mafungu mawili,kundi la kwanza la Wachunguzi waliingia CCP mwezi wa Nne mwaka huu,kundi la pili la Wachunguzi Wasaidizi waliingia Depo tarehe 25 Juni,lakini wote kwa pamoja wakamaliza tarehe 19 Septemba
 
Duuuh hii hatare mzee, Nje ya vyet fake kuna Mambo gan mtu anaeza rudishwa om licha kua na vgezo vingine?

Ni kosa mtu kua na elimu ya form six akaomba magereza kwa chet cha form four?
 
Muda wa Mafunzo huwa ni miezi 6 hiyo ni baada ya Ufunguzi Rasmi wa Mafunzo,lakini kwa Depo ya Polisi waliomaliza Mafunzo mwezi wa Nane mwaka huu wao walikaa Depo miezi Nane, TAKUKURU waliomaliza Depo mwezi uliopita waliingia kwa mafungu mawili,kundi la kwanza la Wachunguzi waliingia CCP mwezi wa Nne mwaka huu,kundi la pili la Wachunguzi Wasaidizi waliingia Depo tarehe 25 Juni,lakini wote kwa pamoja wakamaliza tarehe 19 Septemba
Ohoooh ndo maana naambiwa huko magereza huwa kuna mafunzo ya miezi 6 na ya miez 9, hii imekaaje ni kina nani wahusika kwa kila kozi na vigezo gani hutumika kuwagawa hivo?
 
Kama aliomba kazi na Cheti cha Form Four ndicho atakachokitumia kwenye Usajili,makosa yanayoweza kumfanya KURUTA kufukuzwa ni KUPIGANA,ULEVI,BANGI,UTORO,MICHORO MWILINI,KUGOMA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA MKUFUNZI/MWALIMU(hapa ni kwamba Afande Mwalimu anaweza akampa Mwanafunzi au KURUTA adhabu fulani,hata kama KURUTA anaona ameonewa inatakiwa atekeleze Adhabu hiyo na sio KUGOMA,akigoma kisha Afande akaenda kumripoti lazima atimuliwe,kumbuka Jeshini ni NIDHAMU
 
Depo kwa KURUTA ni kati ya miezi 7 mpaka 9,ndio maana hao wa Magereza kama wameripoti mwezi Septemba,basi kumaliza itakuwa Mei mwakani
 
Kama aliomba kazi na Cheti cha Form Four ndicho atakachokitumia kwenye Usajili,makosa yanayoweza kumfanya KURUTA kufukuzwa ni KUPIGANA,ULEVI,BANGI,UTORO,MICHORO MWILINI,KUGOMA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA MKUFUNZI/MWALIMU(hapa ni kwamba Afande Mwalimu anaweza akampa Mwanafunzi au KURUTA adhabu fulani,hata kama KURUTA anaona ameonewa inatakiwa atekeleze Adhabu hiyo na sio KUGOMA,akigoma kisha Afande akaenda kumripoti lazima atimuliwe,kumbuka Jeshini ni NIDHAMU
Duuuh, Je haya mambo ya Maafande kutumia vyeo vyao kuwalazmisha wasichana kingono kwa kiwatishia hadhabu nzito imekaaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom