Mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2022

Status
Not open for further replies.
Kazi msingi ya askari Magereza ni kumlinda mfungwa asitoroke na kumrekebisha tabia,,japo kazini zipo kazi nyingi ambazo ni za kiutawala zaidi ama za kiujuzi ambapo mtu anafanya kazi za ujuzi alionao mfano udreva,uuguzi,utabibu,ufundi,fedha,utaalamu wa mifugo,simu za siri nk.kama ambavyo kuna madaktari wasiogusa vidonda wanafanya kazi nyingine za kiutawala nk lkn ukweli unabaki palepale kwamb yeye ni daktari.Kwahyo huyo dogo itategemea nidhamu yake ndyo itakayombeba lkn asiache kuomba kwenda shule kujiendeleza na nafasi zipo sana tu,,,niulize chochote kuhusu jeshi lolote nkiona kuna umuhimu ntakujibu.
Mkuu vp hujadikia JW kozi lini tena? Japo oljoro wameapa 30/09/2022
 
Dee RM unampenda sana uyo mdada Mungu akujalie utimize nae malengo maana sio kwa ulivyompambania big ups kwako bro..
 
Amina,Hiyo ndio ndoto yangu Mkuu. Nikianza kukueleza nmemtoa wapi na ni miaka mingap imepita unaeza ukasema ni drama za kikorea. Hata nikisikia mtu anawish mema ka wewe aga nafarijika sana.
 
Naelewa wala sio drama ni true love ndo maana nawaombea mpendane na kutimiza malengo
 
Majibu ya maswali yako

1. Inaweza ikachukua hata miezi miwili wapo kwenye kipindi cha uzalendo itategemea wao wataamuaje ila ili lisikupe shida kwa sababu mnaweza mkawa mko kwenye kozi mshaanza ina hata miezi miwili mnashangaa wengine wanaripoti tena hii ipo sana kwa magereza sahivi bado wanaripoti kozi bado ila washapokonywa simu tayari

2 .usaili mwingine bado upo kwa sababu kwenye majina wameenda 1000 hivyo bado kama miambili na wengine wa nyongeza idadi ikamilike hapa sasa hata wa vipaji watachanganywa

Na bado wakipimwa afya na kukaguliwa vyeti watapunguzwa hivyo kama unahangaika angaika muda ndio huu

3.mafunzo yao ni miezi 6 magereza

4.dhamani hii ya kuingizwa kwenye system ilikuwa inasumbua unaweza kaa miezi miwili mambo bila bila ila mwaka jana vijana waliingizwa mapema ile wanamaliza kuapa mambo yako fresh

5. Kuhusu mishahara inategemea elimu na cheo chako ila warder anayeanza nadhani kilo tano na chenchi kadhaa sina uhakika zaidi ila ruhusa kurekebishwa plus laki 3 ya posho

Daah nimechoka kuandika .... Kama atatumia cha form 4 ahakikishe anaenda nacho akisema form six imekula kwake ataondolewa
 
Bado watu ndio wanakusanya kusanya vyeti vyao huko makambini mda si mrefu watu wanaanza kuchukuliwa

Kunguru wa Manzese zilikuwa haraka zake tu kukimbilia magereza angesubiri kidogo
Hii inamaanisha bado kuna watu wanachukuliwa toka mtaani au Makambini?
 
Majibu ya maswali yako

1. Inaweza ikachukua hata miezi miwili wapo kwenye kipindi cha uzalendo itategemea wao wataamuaje ila ili lisikupe shida kwa sababu mnaweza mkawa mko kwenye kozi mshaanza ina hata miezi miwili mnashangaa wengine wanaripoti tena hii ipo sana kwa magereza sahivi bado wanaripoti kozi bado ila washapokonywa simu tayari

2 .usaili mwingine bado upo kwa sababu kwenye majina wameenda 1000 hivyo bado kama miambili na wengine wa nyongeza idadi ikamilike hapa sasa hata wa vipaji watachanganywa

Na bado wakipimwa afya na kukaguliwa vyeti watapunguzwa hivyo kama unahangaika angaika muda ndio huu

3.mafunzo yao ni miezi 6 magereza

4.dhamani hii ya kuingizwa kwenye system ilikuwa inasumbua unaweza kaa miezi miwili mambo bila bila ila mwaka jana vijana waliingizwa mapema ile wanamaliza kuapa mambo yako fresh

5. Kuhusu mishahara inategemea elimu na cheo chako ila warder anayeanza nadhani kilo tano na chenchi kadhaa sina uhakika zaidi ila ruhusa kurekebishwa plus laki 3 ya posho

Daah nimechoka kuandika .... Kama atatumia cha form 4 ahakikishe anaenda nacho akisema form six imekula kwake ataondolewa
Ahsante kwa Msaada wako Mkuu, Majibu mazuri, Hiyo ya kukaa Miezi miwili bila kujua hatima yako ni risk sana lakin dah
 
Achana na hao polisi miezi yote tisa unakaa bila hatima yako unaweza kuondolewa hata kwa kosa dogo ukiwa umebakiza siku moja uape ukapoteza miezi yote tisa

Bora na magereza

.jwtz hawafukuzi mtu ila watakunyoosha
 
Hellow naomba kuuliza hiv wale askari wanaolinda benki wanalipwa bei gani kwa perday🙏
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom