Mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2022

Status
Not open for further replies.
Zile aga wanachukua watu kutoka kambini yaani wali9 katika vikosi tayar so kama uko mtaani mpaka uende jkt na ukishatoka jkt ukarud mtaani ndo imeisha hiyo
Kwenye kurudi kitaa hapo ndo changamoto....coz unakuwa umepoteza time ya kutosha[emoji23]
 
Hili suala la connection Ni linakatisha tamaa[emoji23][emoji23]

Acha niue chuo mwakani niangalie uwezekano wa kurudi jkt .kujitolea ......ingawa ninacheti Cha jkt mujibu wa.sheria
Yanakatisha mpaka hamu ndugu si tamaa tu, Ilavukirudi kule unaeza ukaotea
 
Hakuna usaili zaidi tofauti na wa wilayani,mafunzo Ni mwaka mmoja,ajira Ni mojakwamoja mkishaanza mafunzo,mafunzo kufunguliwa unaweza ukaisha hata MWEZI mmoja
Ohoooh takwimu nzuri pia.
 
Ni hasara haswa, Sema ukirud kule angalau uwe na Connection ya urafiki au undugu pesa si kitu siku hizi kaka utaibiwa tu
Kabisa mkuu....sema some time Bora hata kujaribu tu.....Kuna mshikaji wangu hapa katumia cheti cha six mujibu kuomba ajira za magereza...tulikuwa tunamcheka kuwa hauna pesa wala connection but kapiga interview ya wilaya aka pita.....kaenda mkoani akapita

Now yupo course
 
Kabisa mkuu....sema some time Bora hata kujaribu tu.....Kuna mshikaji wangu hapa katumia cheti cha six kujitolea kuomba ajira za magereza...tulikuwa tunamcheka kuwa hauna pesa wala connection but kapiga interview ya wilaya aka pita.....kaenda mkoani akapita

Now yupo course
Me wakwangu walitaka kumkataa eti wanataka 4m4, Tukakomalia siasa pale kwa maana Tangazo la ajira halikusema mtu asiwe na elim zaid ya hiyo na isitoshe katumia chet cha 4m4 basi wakawa wamelegeza. Yaani na hiyo ni nafasi walitaka waipige wampe mtu wao.
 
Kabisa mkuu....sema some time Bora hata kujaribu tu.....Kuna mshikaji wangu hapa katumia cheti cha six kujitolea kuomba ajira za magereza...tulikuwa tunamcheka kuwa hauna pesa wala connection but kapiga interview ya wilaya aka pita.....kaenda mkoani akapita

Now yupo course
Sometimes Allah anatoa kibar machoni pa watu kama ni zamu yako basi hapingi mtu, Mimi nilimwaminisha Mwaka huu ni xamu yako Allah hatokuacha tena na Tunamshukuru amemtendea Mema japo kimagumashi katika usaili alipigwa maswali mengu kuliko wote na kwa kupingwapingwa sana.
 
Akiwa mafunzoni anapewa posho 50,000/ akimaliza kozi atalipwa posho cha chakula 300,000/+ 100,000/ vinywaji+ 618,000/ kama ni form au form six bila ujuzi wowote,,,kama ana taaluma atalipwa posho ya ujuzi.,,,,chukua hii ndo majibu sahihi,,,,kuhusu kurudishwa nyumbani ipo sana hasa kama ana shida za kiafya maana kuna usahili mkali sana huko wanaondoshwaga saa 9 usiku wakati wa mchaka mchaka mnapandishwa karandinga mnarudi kwenu,,,usahili hufanyika mara tatu hadi 4,muombee sana.Mafunzo ya mbeya ni magumu sana anaweza kukimbia .
 
Daaaah,Hapo ni kuomba sana Allah asaidie
 
Aje wanaofanikiwa kumalza kozi inachukua muda gan kuingia ktk system
 
Sometimes Allah anatoa kibar machoni pa watu kama ni zamu yako basi hapingi mtu, Mimi nilimwaminisha Mwaka huu ni xamu yako Allah hatokuacha tena na Tunamshukuru amemtendea Mema japo kimagumashi katika usaili alipigwa maswali mengu kuliko wote na kwa kupingwapingwa sana.
Uliupiga mwingi mkuu
 
Aje wanaofanikiwa kumalza kozi inachukua muda gan kuingia ktk system
Inategemea kama wakimaliza mwezi 6 ujue mwaka mpya wa fedha yaan mwez wa 7 wanaanza kulipwa mshahara na posho zote,,,haizidi miezi 2 wanapomaliza mafunzo wqnakuwa tyr wako kwenye system na wakati mwingine wanaingia mapema kabisa wakiwa bado hata hawajafika vituoni kwao.
 
Ohooh hii imekaa vizuri. Kwa vyovyote vile kwa jinsi walivyoitwa Mwezi wa 9 hata kama wakianxa rasmi mafunzo mwezi wa 11 bado hiyo Miez 6 ya kozi wataimaliza kabla ya mwez wa 5. Hvyo mwaka mpya wa fedha utawakuta wamekamirika kabisa na haitozidi miez miwili ya kuingia katika mfumo.
 
Ondoa shaka hakuna usumbufu wa malipo majeshini huko si Tamisemi ni Serikali kuu.
 
Ohooh hii imekaa vizuri. Kwa vyovyote vile kwa jinsi walivyoitwa Mwezi wa 9 hata kama wakianxa rasmi mafunzo mwezi wa 11 bado hiyo Miez 6 ya kozi wataimaliza kabla ya mwez wa 5. Hvyo mwaka mpya wa fedha utawakuta wamekamirika kabisa na haitozidi miez miwili ya kuingia katika mfumo.
Ameenda mahali pazuri tu muache aka make life ,,,unaweza kujionea hapo juu kipato chake ni kikubwa kuliko mtu mwenye degree anayeanza kazi let say mwl,karani nk.kipato nilichokuonesha hapo juu ni kwa mtu anayeanza kazi akiwa form 4 bila ujuzi wowote analamba kipato kizuri tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom