Kimsingi pesa inayolipwa Tamisemi inatoka serikali kuu vilevile,,,sema watumishi wàke wanawajibika kwenye mamlaka za serikali za mitaa esp wakurugenzi na maafisa utumishi,,tofauti na majeshi ambayo huwajibika serikali kuu direct hata kiapo chao wanaapa " KUMTII RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO NA KULINDA KATIBA" NB.Kukiwa na mrundikano wa watumishi serikali kuu kutakuwa na kuzorota vilevile ndyo maana wakaamua zibaki taasisi Nyeti kama majeshi nk.maana huwezi kumwambia askari akamnyenyekee mkurugenzi moto utawaka maofisini huko