Mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2022

Status
Not open for further replies.
Nitumie namba yako PM,kikubwa muombee amalize Mafunzo salama huko Kiwira,panapo majaaliwa wakati wa post naweza kusaidia
Huwa wanapata muda wa kuwasiliana na ndugu labda?
 
kwa Depo ya TAKUKURU iliyomalizika tarehe 19 walianza kupewa simu baada ya kumaliza miezi miwili ya Mafunzo,na walikuwa wanapewa Jumamosi saa 8 mchana mpaka saa 10 jioni, kisha zinakusanywa na kurudishwa zilikohifadhiwa,kwa Depo ya Polisi hawakupewa simu kabisa tangu mwanzo mpaka mwisho,hivyo ni labda Kuruta ajenge urafiki na Afande hivyo huyo Afande awe anampa simu yake anapiga kwa ndugu jamaa na marafiki walau kwa kuibia,sijajua hao wa Magereza watakuwa wanalipwa Posho kiasi gani kila mwezi,lakini kwa TAKUKURU walikuwa wanalipwa Posho ya Laki Tatu kila mwisho wa mwezi,chakula kizuri na mahali pa kulala ni pazuri
 
Unatakiwa kuripoti tarehe tajwa
Mafunzo ni miezi 6
Mda wa kukaa kabla hajafungua kozi ni mwezi 1
Usaili mwengn upo afya, elimu
Kurudishwa inategemea ni changamoto ipi
Unaporipoti tu baada ya kufungua kozi unakuwa Tyr umeingizwa kwny system na unaanza kulipwa posho
Simu unatumia inategemea na uongozi
Unaruhusiwa kwenda shule kujiendeleza baada ya miaka mitatu kazini
Mkopo unakopa baada ya miezi 6

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Yaan wanalipwa wakiwa mafunzoni?
 
Nimependa maelezo yako mkuu yameshiba sana
 
hilo la kujiendeleza kimasomo nalo linategemea na Boss wako wa mahali unapofanyia kazi na connection uliyonayo Makao Makuu,kuna maboss wengine wana roho mbaya anaweza kukukatalia tu akitoa sababu kwamba ukienda kusoma kutakuwa na upungufu,nakumbuka enzi zangu nilipata tabu kupata ruhusa ya kwenda kusoma na nilichelewa masomoni mwezi mzima baada ya Chuo kufungua,siku ya mwisho ilibidi nimuone Boss mwenyewe Mteule wa Rais ndio akaniruhusu na akaamuru waliokuwa wananiwekea kauzibe waniruhusu siku hiyohiyo na akawapiga mkwala kabisa mbele yangu
 
Niulize tena japo umeeleza, Hizo posho wataanza kulipwa soon baada ua kuanza mafunzo rasmi na ni kila mwezi?
 
Yes wanalipwa Posho,unadhani wadada kama Mkeo watapata wapi Pesa ya Pedi Mkuu??[emoji38]wanalipwa,ndio maana kushindwa Depo ni kijana ashindwe mwenyewe tu maana unalala bure,kula bure,unalipwa Posho,kwake ni kutii maelekezo ya Chuo tu na kupiga kwata
Sasa mimi nikambebesha Pocket money kibao nikijua hakuna simu hivo hatoweza kupata msaada akiwa na shida
 
hilo la kujiendeleza kimasomo nalo linategemea na Boss wako wa mahali unapofanyia kazi na connection uliyonayo Makao Makuu,kuna maboss wengine wana roho mbaya anaweza kukukatalia tu akitoa sababu kwamba ukienda kusoma kutakuwa na upungufu,nakumbuka enzi zangu nilipata tabu kupata ruhusa ya kwenda kusoma na nilichelewa masomoni mwezi mzima baada ya Chuo kufungua,siku ya mwisho ilibidi nimuone Boss mwenyewe Mteule wa Rais ndio akaniruhusu na akaamuru waliokuwa wananiwekea kauzibe waniruhusu siku hiyohiyo na akawapiga mkwala kabisa mbele yangu
Ohoooh hii nayo changamoto kwakwel, Nahitaji akitoka uko salama akaingia katika system arudi Chuoni asee.
 
Niulize tena japo umeeleza, Hizo posho wataanza kulipwa soon baada ua kuanza mafunzo rasmi na ni kila mwezi?
Mafunzo yakishafunguliwa rasmi na wote waliokidhi vigezo kusajiliwa means hao ndio wanakuwa wanasomeka rasmi kwenye System kwamba wameanza Mafunzo rasmi,hivyo kuanzia hapo ndio kila mwisho wa mwezi watakuwa wanasaini Posho ya kujikimu
 
Sasa mimi nikambebesha Pocket money kibao nikijua hakuna simu hivo hatoweza kupata msaada akiwa na shida
Mahitaji ya Pesa si makubwa Depo maana kula bure na chakula ni kizuri,chai na mikate,kulala bure,maji yapo so labda Pedi tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom