Mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2022

Status
Not open for further replies.
Kama aliomba kazi na Cheti cha Form Four ndicho atakachokitumia kwenye Usajili,makosa yanayoweza kumfanya KURUTA kufukuzwa ni KUPIGANA,ULEVI,BANGI,UTORO,MICHORO MWILINI,KUGOMA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA MKUFUNZI/MWALIMU(hapa ni kwamba Afande Mwalimu anaweza akampa Mwanafunzi au KURUTA adhabu fulani,hata kama KURUTA anaona ameonewa inatakiwa atekeleze Adhabu hiyo na sio KUGOMA,akigoma kisha Afande akaenda kumripoti lazima atimuliwe,kumbuka Jeshini ni NIDHAMU
Kuna Chombo chochote labda cha kulinda haki zao kama wanawake wasinyanyasike kingono kupitia mwamvuli wa utii wanaoutumia Wakufunzi?
 
Duuuh, Je haya mambo ya Maafande kutumia vyeo vyao kuwalazmisha wasichana kingono kwa kiwatishia hadhabu nzito imekaaje?
ni mara chache kwa Afande kutumia nguvu au Cheo chake kulazimisha Ngono kwa kuruta maana ikijulikana hata yeye anakuwa kwenye Mashtaka ya Kufukuzwa kazi,kinachotokea ni kwamba Afande atamtongoza Kuruta kama kawaida na kumuahidi kwamba ataishi kwa amani na kumuhakikishia kwamba atamaliza Mafunzo salama,sasa kwa mabinti hawa mayaimayai wa siku hizi hakuna anayependa shida shida,hivyo kumvulia Chupi Afande ni rahisi sana ili apate uhueni wa Mafunzo,kumbuka tarumbeta la kukimbia mchakamchaka linapulizwa saa 9 usiku,hivyo kwa mabinti mayaimayai hiyo tayari ni KERO kwao,hivyo kama una demu wako huko na ni pisi basi elewa lazima atatongozwa na akiridhia atagongwa tu ili apate ahueni ya Depo,lakini simaanishi mabinti wote wanaoenda Depo lazima wagongwe,wapo wanaokakamaa na kumaliza Mafunzo bila kugongwa
 
Daaaah me Mke wang nampenda Mkuu basi tu future ilinilazmidha nimshaur akajaribu na huku, Japo namwamin saaaaaana ila Roho inaniuma bado.
 
Kuna Chombo chochote labda cha kulinda haki zao kama wanawake wasinyanyasike kingono kupitia mwamvuli wa utii wanaoutumia Wakufunzi?
Ndugu,maisha magumu mtaani,Binti anaenda Depo kutafuta maisha yake ya baadaye,ni nadra sana aanze kwenda kulalamika sijui anaonewa na Afande,kumbuka hata hao Maafande wanateteanaga,so muache Binti avumilie,hata akigongwa si atasafisha tu hiyo ****!!!na uzuri Maafande lazima wamle kwa condom maana wanaogopa wakila kavu Binti atashika mimba,na ikigundulika ana mimba lazima AFUKUZWE,sasa akihojiwa si atamtaja aliyempa mimba!!hivyo lazima atagongwa kwa condom
 
ni mara chache kwa Afande kutumia nguvu au Cheo chake kulazimisha Ngono kwa kuruta maana ikijulikana hata yeye anakuwa kwenye Mashtaka ya Kufukuzwa kazi,kinachotokea ni kwamba Afande atamtongoza Kuruta kama kawaida na kumuahidi kwamba ataishi kwa amani na kumuhakikishia kwamba atamaliza Mafunzo salama,sasa kwa mabinti hawa mayaimayai wa siku hizi hakuna anayependa shida shida,hivyo kumvulia Chupi Afande ni rahisi sana ili apate uhueni wa Mafunzo,kumbuka tarumbeta la kukimbia mchakamchaka linapulizwa saa 9 usiku,hivyo kwa mabinti mayaimayai hiyo tayari ni KERO kwao,hivyo kama una demu wako huko na ni pisi basi elewa lazima atatongozwa na akiridhia atagongwa tu ili apate ahueni ya Depo,lakini simaanishi mabinti wote wanaoenda Depo lazima wagongwe,wapo wanaokakamaa na kumaliza Mafunzo bila kugongwa
Kama hawalazmishwi na Hiyo sheria ipo badi naimani atarejea salama maana kazoea hiyo mikikmikiki si kitu kigeni kwake.
 
Ndugu,maisha magumu mtaani,Binti anaenda Depo kutafuta maisha yake ya baadaye,ni nadra sana aanze kwenda kulalamika sijui anaonewa na Afande,kumbuka hata hao Maafande wanateteanaga,so muache Binti avumilie,hata akigongwa si atasafisha tu hiyo ****!!!na uzuri Maafande lazima wamle kwa condom maana wanaogopa wakila kavu Binti atashika mimba,na ikigundulika ana mimba lazima AFUKUZWE,sasa akihojiwa si atamtaja aliyempa mimba!!hivyo lazima atagongwa kwa condom
Daaah Condom bado naona si suruhu ahahah na ni kapisi ka kwenda so kitonhozwa hiyo najua ni Pie, Sema nakazo roho kwa maana kuna maisha baada ya kudate hata ukimkatalia ukae nae om kama ni wa kuliwa ataliwa tu na hawa wa mtaani na still hatokua na mchango wowote
 
muombee amalize salama,na ilikuaje ukampeleka Magereza badala ya Polisi,Uhamiaji,JW au TAKUKURU??au yeye alipenda zaidi Magereza??
Ni process ndefu Mkuu, Huyu bint kamalza Form six mwaka jana na akafaulu vixuri tu. Nilimpeleka JWTZ na kapata nafasi hiyvyo akawa ameafiki kuachana na Chuo
 
Sasa uko Dodoma akakaa zaifi ya mwezi kusubiri kwenda kuanza mafunzo rasmi, Cha kusikitisha sijui ni hujuma gani zilifanyika siku ya meisho wenzake wakapelekwa kuanza mafunzo rasmi yeye na wenzake wachache wakarudi
 
Akawa amechelewa masomo hata alipoenda chuo akashauliwa aghailishe mwaka kwa maana masomo ni magumu na hajaudhuria kua atafeli mtihani, Akaja nikakaa nae mtaani kudubir mwaka mzima. Lakini kwa maelezo yake akil ya kusomo ilipotea kabisa baada ya kupoteza vyote iule JWTZ basi ajira za magereza zilipokuja nikamshauri ajaribu kuomba na akanisikiliza akafanikiwa. Kwa kulinganisha Possibility ya ajira za Serikali baada ya elimu nikaona bora aende magereza akishaingia kwenye system ya ajira ndipo akasome zaidi kama akipata gap. Ndoto zake ni kua Mkemia lakini anapenda Jeshi kutokana na Mazingira aliyolelewa.
 
Ok,JWTZ,POLISI na TAKUKURU huwa ni kuzuri zaidi na kuna opportunities zaidi ya Magereza,lakini kwa kuwa ameshaenda huko basi muache akapambane,shida ni kwenye post baada ya kumaliza Mafunzo,itabidi utafute connection ili akimalize apangiwe Mkoa au Wilaya ambayo angalau ipo Mjini ili kwa Elimu yake ya Form Six iwe rahisi kujiendeleza kielimu kwa Degree ili aanze kupata Nyota mapema,maana kuna maeneo kuna Magereza yapo kijijini hatari,kuna Gereza lipo huko Chunya,Mbeya yaani wafungwa huwa wanaachwa wazurule tu maana hawawezi kutoroka,kuna msitu una wanyama wakali wote uwajuao,yaani akisema atoroke hatoboi popote,jioni kama hii unakuta Simba wanarandaranda tu maeneo ya Gereza[emoji28]
 
Hiyo issue ya Connection za post ndo ntakuomba unisaidie ndugu yangubkama unaweza kua na fulsa au mtu mwenye fulsa ya kunisaidia
 
Sasa uko Dodoma akakaa zaifi ya mwezi kusubiri kwenda kuanza mafunzo rasmi, Cha kusikitisha sijui ni hujuma gani zilifanyika siku ya meisho wenzake wakapelekwa kuanza mafunzo rasmi yeye na wenzake wachache wakarudi
Pole,hukuwa na msaada,tungefahamiana mapema angeenda,kuna hujuma ilifanyika na ukakosa msaada wa wapi pa kuanzia
 
Niliumia sana na iko kipindi aliish maisha magum saana maana alikata tamaa kabisa. Nilibeba jukum la kumpa matumaini lakin ilikua changamoto
 
Nitumie namba yako PM,kikubwa muombee amalize Mafunzo salama huko Kiwira,panapo majaaliwa wakati wa post naweza kusaidia
 
Hapa ni tarehe 19 nilipoenda kwenye Passing Out ya Vijana wa TAKUKURU,nadhani unamuona Mh.Naibu Waziri Njejembi pale ndio alikuwa Mgeni rasmi,na nyuma yake pale ni CP Hamduni,Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
IMG_20220919_101836_399.jpg
IMG_20220919_102232_425.jpg
IMG_20220919_102403_724.jpg
 
Nitumie namba yako PM,kikubwa muombee amalize Mafunzo salama huko Kiwira,panapo majaaliwa wakati wa post naweza kusaidia
Amen, Mungu atujaalie afya na uzima na nafasi zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom