Uhamiaji nayo imekaa je taarifa zakeAkidai utajuaje kama amedai!? Kuhusu kila mtu alipwe kupitia serikali kuu ni ngumu maana imewekwa hivyo kwa sababu maalumu mfano nchi ikiyumba ikashindwa kulipa mishahara ya watumishi usitegemee askari atakosa mshahara kwa sbabu uchumi umeyumba!!! Ndo maana serikali kuu inabaki na watumishi wachache itakaoweza kuwahudumia hata katika hali ngumu ya uchumi
Kwema naona kimy sanaSalama mkuu, kwema?
Bdo mkuu hali tete......wametoa nafasi nyingine tatzo mwisho 25 miakaMambo ni Machache muda ni Mwingi, Nipe Habar mpya juu ya haya Mambo yetu
Form 4 tu division 1 mpaka 4 sema umri kuanzia 18 mwisho 25 tu hapo ndo kipengereVigezo ni vipi?
Vijana wapo hatua za mwisho kumaliza kozi yao waliyoanza mwezi wa 10 tarehe za katikati now wapo zoezi la mwisho la kupiga gwalide linachukua week 3 kumalizaKwema naona kimy sana