AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,885
- 8,482
Salaam Wakuu,
Baada ya kukamilika kwa taratibu za usaili wa ajira za magereza zilizotangazwa kwaka huu 2022, Majina ya waliochaguliwa kujiunga na kuanza mafunzo ya jeshi hilo yalitanazwa na Wakaitwa Kikosini uko Mbeya Mwezi September.
Naomba kufahamishwa yafuatayo kutokana na ukosefu wa mawasiliano na kutokua na uelewa wa kutosha juu ya haya Mambo.
1. Inachukua muda gani kuanza mafunzo rasmi baada ya kuingia kikosini? Je mpaka sasa wameshaanza au kuna utaratibu gani unaosubiriwa?
2.Kuna usaili mwingine uko unaoweza kumfanya mtu kurudishwa nyumbani nje ya usaili uliofanyika ngazi ya Wilaya na Mkoani? Kama upo usaili huo ufanyika wakat gan au baada ya muda gani?
3.Mafunzo hayo yanachukua muda gani mpaka kukamirika? Ni kiezi 6 au 9 au ni Mingapi?
4.Baada ya kuhitimu mafunzo inachukua muda gani askari hao wapya kuingia kwenye mfumo wa ajira?
5.Swala zima la elimu yaani Vyeo au mishahara kulingana na level ya elimu limekaaje? Je kuna ruhusa ya kujiendeleza kielimu baada ya ajira?
Ahsanteni kwa kunizingatia, Karibuni kwa ufafanuzi.