Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,526
- 70,375
Nilishajaribu kuiweka charge na hata nikabadili battery lakini hamna matokeo yoyote hasiUshahakikisha kuwa simu haiwaki kabsa? Maana always samsung ikidondoka ikapasuka kioo huwa haidisplay chochote ila waweza prove kwa kuiweka charge na kuona kama itawaka taa ya blue au red pale inapozima mwanga