Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu habari za muda. Simu yangu hiyo Note 2 imedondoka nilipoiokota ikawa haina tena uhai. Naomba nijulisheni tatizo laweza kuwa nini na matengenezo yake yanaweza kuwa kiasi gani. Nawasilisha shukrani.
IMG_20180903_150836_880.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi sana na Uzi huu mimi nipo kotekote software na Hardware,labda nikuulize kama ulishapata solution ya tecno W3 ambazo nyingi huwa zinatatizo la kuganda na kuleta mistari mistari hivi,Hizi hata uiflash ni kazi bure haikubali,piga blowa uwezavyo haikubali kama kuna mtu ana solution please tujuzane maake ninazo kama kumi hivi nimeziweka nyingine za wateja nyingine nilishaachiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo ili uwe fundi mzuri wa hardware mbali na uzoefu inapendeza usome koz fupi ya eletronik

Vipi katika Software inapendeza usome kozi ipi.

Mkuu
Mi nilisoma hapo Chang'ombe Veta mwaka 2008 kozi fupi nilikomazwa hardware na software hapo hapo sikuwa na idea ya software ila nilijifunzia hapo na nilipata ujasiri mwingi sana japo hardware nilikuwa na idea kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda mrefu nimeanza face hizi shida toka nikiwa second year chuo 2012, nikipata tatizo nilikua nikipitia forum tofauti tofauti ili kupata soln, kiukwel hakuna coz yyt ya ufundi wa simu, ila tu ni kua na idea za electronics kwa upande wa hardware na kujua lugha na majina na namna yakutumia software za sim
Kozi zilikuwepo VETA miaka hiyo ya 2006/06/08 nami nilienda hiyo ya 2008

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu tecno yangu w3 imezima ghafla, nimeambiwa mashine imekufa na gharama yake ni 30,000.

Je, inaweza ikawa ni kweli hiyo bei?
 
Nimefurahi sana na Uzi huu mimi nipo kotekote software na Hardware,labda nikuulize kama ulishapata solution ya tecno W3 ambazo nyingi huwa zinatatizo la kuganda na kuleta mistari mistari hivi,Hizi hata uiflash ni kazi bure haikubali,piga blowa uwezavyo haikubali kama kuna mtu ana solution please tujuzane maake ninazo kama kumi hivi nimeziweka nyingine za wateja nyingine nilishaachiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tecno w3 yangu imezima ghafla, ni siku nyingi sana sasa, wamenambia mashine yenyewe imekufa na gharama yake ni 30,000.

Ni kweli Mkuu?
 
Tecno w3 yangu imezima ghafla, ni siku nyingi sana sasa, wamenambia mashine yenyewe imekufa na gharama yake ni 30,000.

Ni kweli Mkuu?
Inaweza ikawa kweli kama aliyekuambia tayari anayo na hata ukiambiwa zaidi ya hapo pia itakuwa ni ukweli kwa huyo aliyekuambia.
Hizo unaweza nunua hadi kwa 50000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom