Elya
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 276
- 139
Ndio mzeeIna maana Mkuu hiyo saket si ndo imbeba mafile, IMEI n.k?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mzeeIna maana Mkuu hiyo saket si ndo imbeba mafile, IMEI n.k?
Sasa Mkuu kama simu imepigwa si naweza nikakamatwa na jeshi la polisi?
Umejaribu kwenda kwenye Application Manager uclear data and catche? Au pia jaribu kuforce stop then itest, ikigoma kabisa fanya factory reset, bado ikisumbua peleka kwa fundi.Wakuu ahsanteni kwa uzi huu unaotuhusu hata sisi watumiaji wa simu. Na mimi naomba ufumbuzi wa tatizo la Camera kwenye simu yangu aina ya Samsung Galaxy A8. Ukifungua camera inasema "Warning. Camera failed. Tatizo hili limesababishwa na nini na nini ufumbuzi wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Camera yaweza kuwa loose kwa njia yoyote, kufa au pia tatizo la softwareWakuu ahsanteni kwa uzi huu unaotuhusu hata sisi watumiaji wa simu. Na mimi naomba ufumbuzi wa tatizo la Camera kwenye simu yangu aina ya Samsung Galaxy A8. Ukifungua camera inasema "Warning. Camera failed. Tatizo hili limesababishwa na nini na nini ufumbuzi wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mkuu kuweka IMEI ile ile si gharama nyingine kwa fundi wa hayo mambo na kkoo wanaogopa saana siku hizi.Kinachotakiwa ukishauziwa saket inabidi IMEI za simu yako iliyokufa ndio zitumike kwenye hiyo uliyonunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sijui tenaSasa Mkuu kuweka IMEI ile ile si gharama nyingine kwa fundi wa hayo mambo na kkoo wanaogopa saana siku hizi.
Hizo njia zote nilishashauriwa na nikazitumia lkn bado tatizo liko pale pale. Kwa mafundi nimeshakwenda kwa watatu tofauti lkn kila mmoja aliniambia tatizo tofauti. Wa kwanza alisema ni ic so ataitafuta akiipata tutawasiliana. Mwingine akasema ni setting ndio tatizo so nitafute watu wa software. Wa mwisho alisema ni Camera inatakiwa kubadilishwa. sikupata ufumbuzi wa uhakika. Naamini hapa kuna mafundi ambao wameshakutana na tatizo hili na wanajua sababu na solution yake. Tafadhali tuwasiliane hapa au kwa namba hizi 0769725553. Cjui bado kuingia pm so usinitumie msg pm. Ahsante sana.Umejaribu kwenda kwenye Application Manager uclear data and catche? Au pia jaribu kuforce stop then itest, ikigoma kabisa fanya factory reset, bado ikisumbua peleka kwa fundi.
Aliyesema ni camera yahitaji kubaririshwa ama kufanyiwa marekebisho yupo sahihi.Hizo njia zote nilishashauriwa na nikazitumia lkn bado tatizo liko pale pale. Kwa mafundi nimeshakwenda kwa watatu tofauti lkn kila mmoja aliniambia tatizo tofauti. Wa kwanza alisema ni ic so ataitafuta akiipata tutawasiliana. Mwingine akasema ni setting ndio tatizo so nitafute watu wa software. Wa mwisho alisema ni Camera inatakiwa kubadilishwa. sikupata ufumbuzi wa uhakika. Naamini hapa kuna mafundi ambao wameshakutana na tatizo hili na wanajua sababu na solution yake. Tafadhali tuwasiliane hapa au kwa namba hizi 0769725553. Cjui bado kuingia pm so usinitumie msg pm. Ahsante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
display nauza 120k hyo saketi yako njoo nayo tuiflash. kiufupi kila kitu nitafanya mwenyewe then ww unamaliza na pesa ya kiooDisplay wauzaje Mkuu, mimi circuit yangu ina virus, inabidi uiflash, tatizo lake ni kuwa after 3 minutes inajirestart simu na sms inaingia kila baada ya simu kujirestart.
hyo bei ni rahisi sana mzee. sisi tunazibadlisha kwa 50kWakuu tecno yangu w3 imezima ghafla, nimeambiwa mashine imekufa na gharama yake ni 30,000.
Je, inaweza ikawa ni kweli hiyo bei?
unataka shingap hyo simmu!Sidhani kama kuna tatizo coz mafundi wote pia huwa ni wauzaji na wanunuzi wa simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si una mid-frame kabisa?display nauza 120k hyo saketi yako njoo nayo tuiflash. kiufupi kila kitu nitafanya mwenyewe then ww unamaliza na pesa ya kioo
sijakuelewaSi una mid-frame kabisa?
Hii kazi ndogo badilisha ile waya inayotoka juu kwenye saket inayokuja kwenye antenna
Sent using Jamii Forums mobile app
Z1 au zl?Nina xperia zl yangu ilikufa sysytem charger ila niliamua kuiweka kabatini kwani ni ya siku nyingi nimeichoka, kwa mwenye uhitaji wa hardware zake esp kioo anaweza ni-PM
Wakuu mafundi hapa ndio mmeshindwa kunipa jibu au?Wakuu habari za muda. Simu yangu hiyo Note 2 imedondoka nilipoiokota ikawa haina tena uhai. Naomba nijulisheni tatizo laweza kuwa nini na matengenezo yake yanaweza kuwa kiasi gani. Nawasilisha shukrani.View attachment 855622
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahakikisha kuwa simu haiwaki kabsa? Maana always samsung ikidondoka ikapasuka kioo huwa haidisplay chochote ila waweza prove kwa kuiweka charge na kuona kama itawaka taa ya blue au red pale inapozima mwangaWakuu mafundi hapa ndio mmeshindwa kunipa jibu au?