Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Ushahakikisha kuwa simu haiwaki kabsa? Maana always samsung ikidondoka ikapasuka kioo huwa haidisplay chochote ila waweza prove kwa kuiweka charge na kuona kama itawaka taa ya blue au red pale inapozima mwanga
Nilishajaribu kuiweka charge na hata nikabadili battery lakini hamna matokeo yoyote hasi
 
Okay. Hapo watembelee mafundi ambao wanaweza kuwa na circuit ambayo inawaka ukafanyia test ya display yako
Nawapata wapi hawa mafundi. Maana wengi ni makanjanja unaweza kuishia kutapeliwa tu. Nataka fundi wa uhakika kama unaweza kunipa msaada itapendeza mkuu.
 
Nina samsung galaxy s5. Saketi tu ndo mbovu. Kwa anaeitaka kwa manufaa ya body na display anaweza nicheck kwa 0658190978. 0763976109.
 
PC yangu hp elitebook 8470p nikiwasha inatoa maelezo fan doesn't work correctly nifanye nini kutatua tatizo hilo
 
Kipi bora kati ya kubadili fan au kusafisha
Na bei ya fan mpya sh. Ngapi
Maana ya marekebisho ni kwamba fundi anaweza kusafisha au kuweka nyingine au pia upo uwezekana shida ikawa n kwenye mashine yenyewe moto haufiki kwenye fan
 
Msaada. Computer\Desktop nikiiwasha inawaka inakaa dk 5 au 2 inazima, nikiwasha tena inaonyesha maandishi mengi kisha inaji restart. Hua inatoa kamlio duuuuuuu duuu
 
Kuna w3 kama mbili hivi niliwahi kujaribu kuzifanyia utafiti. kwanini hizo simu zina zima sana. na kwanini zingine zinapo kuwa zinawaka huwa zinaleta chenga.
Chenga kwenye display

1 nilianza na hiyo ya kuwaka inaleta chenga chenga kwenye display kwanza nikatoa memory ya ndani nika kaangali kwenye njia nikakuta kuna njia zimeng'oka.
Na hizo njia ziling'oka baada ya simu kuanguka.
Na nikajaribu kuangalia kwenye prosesa nayo nikakuta kuna baadhi ya njia zimeng'oka.
Na nikaja kugundua makosa wanayo fanya na tecno na itel ni kujifanya ni masuper star na kufanya mizaha kazini kwa sababu makampuni ya simu mengine kama samsung lg huawei prosesa zao pamoja na memory lazima waweke gundi hata simu ikianguka au ikiingia maji isilete madhara ya moja kwa moja.

2 nilikuja w3 ya pili nikatoa prosesa na pamoja memory. na nilipo jaribu kuangalia kwenye njia zake nikakuta hamna hata njia hata moja iliyo ng'oka. na nikaja kundua hiyo simu ina exp date ikutumika baada ya mwaka mmoja lazima izime na ndio maana hiyo simu ukita mpya huwezi kukuta imezima.
Mkuu W3 imeanguka imepasua kioo. Ni bei gani kioo kipya na ufundi?
 
Nimefatilia mtiririko na nimejifunza kitu. Mm ni fundi chipukizi katika kutengeneza kwangu huwa nadili na maiki spika na ringer pamoja na kubadilisha display ila mteja akileta kazi ngumu akishaelezea tu nikaona ipo nje na nguvu zangu namuunganisha na fundi mwingine yaani nampa rufaa
Tatizo mafundi wengi hawataki kushindwa hali ya kuwa haelewi hata pa kuanzia ila kwa sababu anaogopa kuonekana hajui anachukua kazi matokeo yake anaharibu
Ni sawa unavyosema lakini pia una swali lakujiuliza na kuchukua hatua. Je ni lini na ni vipi utapandisha kiwango chako ili uweze kukabili kazi unazozipatia rufaa?
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom